WATIA nia Uchaguzi Mkuu Simba waalikwa kwenye usaili - EDUSPORTSTZ

Latest

WATIA nia Uchaguzi Mkuu Simba waalikwa kwenye usaili

WATIA nia Uchaguzi Mkuu Simba waalikwa kwenye usaili

WATIA nia Uchaguzi Mkuu Simba waalikwa kwenye usaili

WATIA nia Uchaguzi Mkuu Simba waalikwa kwenye usaili, Uchaguzi Mkuu Simba Sc, Uchaguzi Simba SC, Uchaguzi Mkuu Simba Sc, Uchaguzi Simba Sports Club, Uchaguzi Simba SC 2023, Uchaguzi Mkuu simba Tanzania, Wagombea Uchaguzi Mkuu Simba, Wagombea nafasi za ujumbe Simba SC, Wagombea nafasi ya Uenyekiti Uchaguzi Mkuu Simba Sc.

WATIA nia Uchaguzi Mkuu Simba waalikwa kwenye usaili

WATIA nia Uchaguzi Mkuu Simba waalikwa kwenye usaili

Kamati ya uchaguzi ya Klabu ya Simba imewaalika watia nia wafuatao katika awamu ya kwanza ya usaili.

1:Murtaza Ally Mangungu
2:Geofrey Irick Nyange
3:Abubakari Zebo
4:Abdallah Rashid Mgomba
5:Hawa Mwaifunga
6:Laurian Salvatory Mganga
7:Eng. AElisony Edward Mweladzi
8:Eng. Rashid Khamsini
9:Omary Juma Mazora
10:Idd Noor Kajuna
11:Christopher Kabalika Mwansasu

Usaili wa awamu ya kwanza utafanyika Alhamis ya December 22, 2022 kuanzia saa 8:30 mchana kwenye Hoteli ya Serena iliyopo Jijini Dar es Salaam.

Klabu hiyo imewahimiza watia nia wote waliotajwa kufika kwa muda tajwa wakiwa na vielelezo halisi (Original) walivyoambatinisha na fomu ya ugombea.

Awamu ya pili na ya Mwisho itafanyika Ijumaa ya December 23, 2022 na majina ya wasailiwa ya mwisho yatatolewa hapo baadae.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Donwlod HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari.

The post WATIA nia Uchaguzi Mkuu Simba waalikwa kwenye usaili appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz