Wafahahamu Wagombea Uchaguzi Mkuu Simba Sc - EDUSPORTSTZ

Latest

Wafahahamu Wagombea Uchaguzi Mkuu Simba Sc

Wafahahamu Wagombea Uchaguzi Mkuu Simba Sc

Wafahahamu Wagombea Uchaguzi Mkuu Simba Sc

Wafahahamu Wagombea Uchaguzi Mkuu Simba Sc, Uchaguzi Simba SC, Uchaguzi Mkuu Simba Sc, Uchaguzi Simba Sports Club, Uchaguzi Simba SC 2023, Uchaguzi Mkuu simba Tanzania, Wagombea Uchaguzi Mkuu Simba, Wagombea nafasi za ujumbe Simba SC, Wagombea nafasi ya Uenyekiti Uchaguzi Mkuu Simba Sc.

Wafahahamu Wagombea Uchaguzi Mkuu Simba Sc

Wafahahamu Wagombea Uchaguzi Mkuu Simba Sc

Wagombea 13 wamejitokeza kuchukua fomu za kuwania nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa klabu ya Simba Sc unaotatajiwa kufanyika Januari 29, 2023.

Kati ya wagombea hao wanne wanawania nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu na tisa nafasi za ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi.

Miongoni mwa waliojitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Uenyekiti ni aliyekuwa Mtunza Fedha wa klabu, Yusuph Nassor Majid ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS).

Wengine wanaowania nafasi hiyo ni Makamu Mwenyekiti wa zamani wa Klabu hiyo Geofrey Nyange ‘Kaburu’ Yusuph Omar Yenga, na Eng. Rashid Khamsini.

Katika nafasi ya Ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi mpaka sasa waliochukua fomu ni wagombea tisa.

Wagombea hao ni Iddy Noor Kajuna, Abubakar Zebo, Eng. Rashid Khamsini, Hawa Subira Mwaifunga, Laurian Mganga, Elisony Edward Mweladzi, Lameck Lawrance na Abdallah Rashid Mgomba.

Zoezi la kuchukua na kurudisha fomu lilifunguliwa December 05 na litafungwa rasmi December 19, 2022.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Donwlod HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari.

The post Wafahahamu Wagombea Uchaguzi Mkuu Simba Sc appeared first on Nijuze Mpya.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz