Simba yarejea Dar na pointi 7 - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba yarejea Dar na pointi 7

Simba yarejea Dar na pointi 7

Simba yarejea Dar na pointi 7

Simba yarejea Dar na pointi 7

Simba yarejea Dar na pointi 7

Simba yarejea Dar na pointi 7, Kikosi Simba SC kimewasili salama Jijini Dar es Salaam kutoka Mwanza baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KMC kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jana Jumatatu December 26, 2022.

Baada ya kuwasili Dar es Salaam wachezaji wamepewa mapumziko ya kwenda kukutana na familia zao na kesho wataanza mazoezi ya kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons FC utakaopigwa Ijumaa ya December 30, 2022.

Meneja wa timu, Patrick Rweyemamu amesema lengo la Simba lilikuwa kuchukua pointi zote tisa za Kanda ya Ziwa kwenye mechi tatu lakini imefanikiwa kupata saba tu.

“Kikosi kimerejea salama Dar es Salaam na wachezaji wamepewa mapumziko ya siku moja na kesho tutarudi mazoezini kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Tanzania Prisons,” amesema Rweyemamu.

Katika mechi tatu za Kanda ya Ziwa Simba imeshinda mbili tu dhidi ya Geita Gold ya Geita (5-0), KMC FC ya Dar es Salaam (3-1) na sare ya bao 1-1 dhidi ya Kagera Sugar FC ya Kagera.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili.

The post Simba yarejea Dar na pointi 7 appeared first on Nijuze Mpya.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz