PICHAZ: Ronaldo atua Saudi Arabia - EDUSPORTSTZ

Latest

PICHAZ: Ronaldo atua Saudi Arabia

PICHAZ: Ronaldo atua Saudi Arabia

PICHAZ: Ronaldo atua Saudi Arabia

Ronaldo atua Saudi Arabia, Ronaldo atua Al Nassr, Ronaldo asajiliwa Al Nassr, Ronaldo asajiliwa Saudi Arabia, Cristiano Ronaldo Portugal, Cristiano Ronaldo Al Nassr Saudi Arabia.

PICHAZ: Ronaldo atua Saudi Arabia

PICHAZ: Ronaldo atua Saudi Arabia

 

Mshambuliaji wa Ureno, Cristiano Ronaldo (CR7) amejiunga na klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia kwa mkataba wa hadi 2025.

Ronaldo ambaye ni nahodha wa timu ya Taifa ya Ureno amesajiliwa na Al Nassr kama mchezaji huru baada ya kuachana na Manchester United kufuatia mahojiano yenye utata ambapo aliikosoa klabu hiyo yenye makazi yake katika Jiji la Manchester nchini Uingereza.

PICHAZ: Ronaldo atua Saudi Arabia


PICHAZ: Ronaldo atua Saudi Arabia

Baada ya kusajiliwa na Al Nassr,  Ronaldo ametajwa kuwa atakuwa anapokea mshahara mkubwa zaidi wa zaidi ya £177m kwa mwaka sawa na Tsh Bilioni 493 za kitanzanzia, sawa na kulipwa Tsh Bilioni 41 kila mwezi.

Mshahara huo unatajwa kuwa utamfanya Ronaldo (CR7) kuwa Mwanamichezo tajiri zaidi Duniani kuwahi kutokea.

Ronaldo mwenye umri wa miaka 37 amesema kuwa “anatamani kupata uzoefu wa Ligi mpya ya soka katika nchi tofauti”.

Ronaldo aliongeza kuwa: “Nina bahati kwamba nimeshinda kila kitu nilichodhamiria kushinda katika soka ya Ulaya na ninahisi sasa kwamba huu ni wakati mwafaka wa kubadilishana uzoefu wangu huko Asia.”

PICHAZ: Ronaldo atua Saudi Arabia


PICHAZ: Ronaldo atua Saudi Arabia

Al Nassr ambao ni Mabingwa mara tisa wa Saudi Pro League walisema kuwa Usajili huo ni kama “historia inayoundwa”.

Klabu hiyo ilisema “itahamasisha Ligi yetu, taifa na vizazi vijavyo, wavulana na wasichana kuwa bora zaidi “.

Katika majira ya joto, Ronaldo alikataa mkataba wa £305m kujiunga na timu nyingine ya Saudi – Al Hilal kwa sababu alikuwa ameridhika kuendelea kuichezea Manchester United.

Portugal’s Cristiano Ronaldo joins Saudi Arabia club Al Nassr Ronaldo’s contract with Al Nassr has been estimated by media to be worth more than 200m euros ($214.5m).

Cristiano Ronaldo of Portugal announced on December 30, 2022 that he had signed with Saudi Arabia’s Al Nassr club.

Football superstar Cristiano Ronaldo has joined Saudi Arabian club Al Nassr on a two-and-a-half-year contract, the Riyadh-based team has announced.

The Portuguese forward left Manchester United last month following an explosive television interview in which the 37-year-old said he felt betrayed by the club and did not respect their Dutch manager Erik ten Hag.

Al Nassr posted a picture on social media of Ronaldo on Saturday holding up the team’s jersey, with the club hailing the deal as “history in the making”.

“This is a signing that will not only inspire our club to achieve even greater success but inspire our league, our nation and future generations, boys and girls to be the best version of themselves,” the club said in a tweet.

“I am fortunate that I have won everything I set out to win in European football and feel now that this is the right moment to share my experience in Asia,” Ronaldo said.

“I am looking forward to joining my new team mates and together with them help the Club to achieve success.”

Al Nassr said the five-time Ballon d’Or winner will join on a deal until 2025 but did not disclose any financial details. Ronaldo’s contract with the team has been estimated by media to be worth more than 200 million euros ($214.5m).

Ronaldo will arrive in Saudi Arabia with a vast collection of club honours after a glittering spell at Spanish giants Real Madrid from 2009-18 where he won two La Liga titles, two Spanish Cups, four Champions League titles and three Club World Cups.

He went on to score a club record 451 times for Real Madrid and has more than 800 senior goals overall for club and country.

Ronaldo claimed two Serie A titles and a Copa Italia trophy in three years at Juventus before rejoining Manchester United with whom he had bagged three Premier League crowns, the FA Cup, two League Cups, the Champions League and the World Cup.

He played for Portugal in Qatar, where he became the first male player to score in five World Cups after netting a penalty in his side’s opening Group H game against Ghana.

Portugal were knocked out in the quarter-finals by Morocco and Ronaldo spent much match time on the bench, leading to speculation the footballer’s star status was in decline.

Ronaldo sitting on the bench, watching the game in concentration while other players on his sides talk to each other
Cristiano Ronaldo on the Portuguese bench during the team’s clash with Morocco at Al Thumama Stadium on December 10, 2022.

Ronaldo said Qatar would probably be his last World Cup as he plans to retire at 40, with the move to Saudi Arabia likely to mark the swan song in the career of one of the game’s greatest current players alongside Lionel Messi.

“This is more than history in the making,” Al Nassr Football Club President Musalli Almuammar said. “This is a signing that will not only inspire our club to achieve even greater success but inspire our league, our nation and future generations.”

The Saudi Arabian club, who have won nine Saudi Pro Premier League titles, are hoping Ronaldo can help them win another domestic league title and a first at the AFC Asian Champions League.

Saudi Arabia’s national team earned its biggest international win ever at the World Cup in Qatar last month when it beat eventual champion Argentina in its first group-stage game, but then failed to reach the knockout stages of the tournament.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2022, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2022.

The post PICHAZ: Ronaldo atua Saudi Arabia appeared first on Nijuze Mpya.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz