NKANE nje ya dimba wiki 6 - EDUSPORTSTZ

Latest

NKANE nje ya dimba wiki 6

NKANE nje ya dimba wiki 6

NKANE nje ya dimba wiki 6

NKANE nje ya dimba wiki 6

NKANE nje ya dimba wiki 6

WINGA wa Klabu ya Young Africans, Denis Nkane atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki sita baada ya vipimo kuonyesha amevunjika mfupa mdogo unaosababisha nyonga kujikunja.

Akitoa taarifa hiyo, daktari wa Yanga, Moses Etutu alisema Nkane atakuwa na vipindi viwili vya kuuguza majeraha yake hadi hapo atakaporejea rasmi uwanjani.

“Vipimo vimeonyesha alivunjika mfupa unaosababisha nyonga kukunja ndio maana alipata maumivu makali sana. Tayari tumeshaanza ratiba ya matibabu na atakuwa na vipindi viwili kabla ya kurejea moja kwa moja uwanjani.

“Atakaa nje kwa wiki nne halafu wiki mbili za mwisho ataanza mazoezi mepesi ambayo tutakuwa tunamfuatilia tujue maendeleo yake,” alisema Dokta Moses.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili.

The post NKANE nje ya dimba wiki 6 appeared first on Nijuze Mpya.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz