MFAHAMU Saido Ntibazonkiza Mchezaji mpya wa Simba
MFAHAMU Saido Ntibazonkiza Mchezaji mpya wa Simba, umri wa Saido Ntibazonkiza, CV ya Saido Ntibazonkiza Simba Sports Club, Saido Ntibazonkiza asajiliwa Simba sc, timu alizocheza Saido Ntibazonkiza, Saido Ntibazonkiza Msimbazi, miaka ya Ntibazonkiza.
Ntibazonkiza Simba SC, Usajili wa Saido Ntibazonkiza Simba SC, Usajili wa Ntibazonkiza Simba, Simba yamsajili saido Ntibazonkiza, magoli aliyofunga Saido Ntibazonkiza Simba Sports Club Tanzania, Saido Ntibazonkiza mchezo mpya wa Simba SC, Saido Ntibazonkiza Mchezaji wa Simba.
- MFAHAMU Feisal Salum Abdallah “Fei Toto”
- Feisal Salum atua Azam FC
- MAJINA ya waliochaguliwa Kujiunga na VETA Tanzania 2023
Mshambuliaji wa pembeni kutoka nchini Burundi aliejiunga na Simba SC Saidi Ntibazonkiza ama Saido, ana historia ya kipekee katika soka la ukanda wa Afrika mshariki na kati.
Saido Ntibazonkiza, ambaye Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili leo Jumamosi December 24 2022, alizaliwa May 01, 1987 katika Mji wa Bujumbura nchini Burundi, na maisha yake ya soka yalianzia kwenye klabu ya Vital’O mwaka 2003 hadi 2004.
Mwaka 2006 alijiunga na NEC Nijmegen ya nchini Uholanzi akianzia kwenye timu ya vijana na mwaka huo huo November 18 akapandishwa timu ya wakubwa ambako alidumu mpaka mwaka 2010 na kufanikiwa kucheza michezo 70 na kupachika mabao 10.
Mwaka 2010 alijiunga na klabu ya KS Cracovia ya nchini Poland ambako alidumu mpaka mwaka 2014 na kufanikiwa kucheza michezo 85 na kutupia mabao 17.
Mwaka 2014 alijunga na klabu ya Akhisar Belediyespor ya nchini Uturuki ambako alidumu mpaka mwaka 2015 na kucheza michezo 13 na kupachika bao 1.
Mwaka 2015 alijiunga na Caen Fc ya nchini Ufaransa ambayo kwa wakati ule ilikuwa inashiriki Ligi Kuu nchini Ufaransa (Ligue 1) na sasa ipo Ligue 2, ambapo huko alipelekwa timu B (Caen B) ambako alicheza michezo minne 4 na kufunga bao moja 1.
- NECTA Matokeo ya Darasa la Saba 2022/2023
- MAJINA ya Wanafunzi na Shule walizochaguliwa form one 2023
Mwaka huo huo 2015 alipandishwa Senior team Caen Fc ambako alidumu mpaka mwaka 2016 na kufanikiwa kucheza michezo 14 na kufunga bao moja 1.
Mwaka 2017 alijunga na klabu ya FC Kaisar ya nchini Khazakistan ambako alicheza msimu mmoja tu na kufanikiwa kucheza michezo 10 na kufunga mabao mawili.
Baadae aliachana na klabu hiyo na kuwa mcheza huru ambapo mwaka 2019 timu yake ya zamani Vital’O iliamua kumrudisha ndani ya kikosi cha warundi hao.
Baadae akajiunga na Young Africans SC ya Dar es Salaam, baadae Geita Gold FC ya Geita kisha Simba SC iliyomsajili kwenye dirisha hili dogo la usajili 2022/2023.
Kwa upande wa timu ya taifa lake la Burundi, alianza kuitumikia timu hiyo mwaka 2010, na amekua nahodha wa kikosi cha Intamba murugamba kuanzia mwaka huo, japo badae alikuja kufungiwa kutoitumikia timu hiyo kuanzia 2015 na baadae alirejeswa kikosini.
Said Ntibazonkiza (born 1 May 1987) is a Burundian footballer who plays as a winger for a Tanzanian premier league club, Geita Gold FC and the Burundian national team.
Full name: Saidi Ntibazonkiza
Date of birth: 1 May 1987 (age 35)
Place of birth: Bujumbura, Burundi
Height: 1.70 m (5 ft 7 in)
Position(s): Winger
Club information
Current team
Simba Sports Club of Tanzania
2003–2005 Vital’O mechi 67 goli 44
2006–2010 NEC mrchi 63 goli 10
2010–2014 Cracovia mechi 85 goli 17)
2014–2015 Akhisar Belediyespor mechi 13 goli 1
2015–2016 Caen mechi 14 goli 1
2015 Caen B goli 4 goli 1
2017 Kaysar Kyzylorda m mechi 10 goli 8
International career
2004–Burundi mechi 23 goli 12
10/2020 – Young Africans SC
02/2017 – 12/2017 Qaisar Qyzylorda FK
09/2015 – 01/2017 SM Caen
07/2014 – 01/2015 Akhisar Belediyespor
07/2010 – 07/2014 MKS Cracovia
11/2006 – 07/2010 NEC
07/2004 – 06/2005 Vital’O FC
Ntibazonkiza started to play football at Vital’O. As an asylum seeker, he came to the Netherlands in 2005.
NEC was the nearest professional football club, and because of that, he trained with their youth team.
Eventually, NEC signed him on a permanent deal. At the beginning of the 2006–07 season, he began playing for the youth team, but was shortly thereafter promoted to the first-team squad.
On 18 November 2006, against Sparta Rotterdam, Ntibazonkiza played his first game in the Eredivisie.
After receiving a Dutch residence permit, Ntibazonkiza signed a contract binding him to NEC until the summer of 2009.
He also signed another contract extension until 2012 in January 2009.[3]
On 10 February 2017, Ntibazonkiza signed for Kazakhstan Premier League club Kaysar Kyzylorda.
After being released by Kaysar Kyzylorda, Ntibazonkiza returned to his first club, Burundian side Vital’O.
International career
Ntibazonkiza played for several Burundian youth teams, and for his national squad.
- Simba yapangwa kundi C CAF Champions League 2022/2023
- Yanga yapangwa kundi D CAF Confederation Cup 2022/2023
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
- PATA bonasi hadi 230000 na Helabet Tanzania
- JINSI ya kuweka Pesa Helabet Tanzania
- Jinsi ya kujisajili na HELABET Tanzania
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
Donwlod HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.
Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari.
The post MFAHAMU Saido Ntibazonkiza Mchezaji mpya wa Simba appeared first on Nijuze Mpya.
Post a Comment