Mayele, Mgunda watwaa tuzo Ligi Kuu Bara - EDUSPORTSTZ

Latest

Mayele, Mgunda watwaa tuzo Ligi Kuu Bara

Mayele, Mgunda watwaa tuzo Ligi Kuu Bara

Mayele, Mgunda watwaa tuzo Ligi Kuu Bara

KOMBE la Dunia LIVE Kwenye Nijuze Habari APP

Matokeo Namungo vs Yanga December 07 2022

Mayele, Mgunda watwaa tuzo Ligi Kuu Bara

Mayele, Mgunda watwaa tuzo Ligi Kuu Bara

Mayele, Mgunda watwaa tuzo Ligi Kuu Bara, Mshambuliaji wa Klabu ya Young Africans, Fiston Kalala Mayele amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu kwa mwezi November 2022.

Fiston Mayele mchezaji bora November 2022

Fiston Mayele mchezaji bora November 2022

Mayele ametwaa tuzo hiyo baada ya kufunga mabao saba na kutoa ‘asisti’ ya bao moja katika michezo mitano aliyocheza Klabu yake mwezi November, akiwashinda Moses Phiri wa Simba na Saido Ntibazokinza alioingia nao Fainali ya tuzo hiyo.

Mayele amekuwa mchezaji wa pili wa Yanga kushinda tuzo hiyo baada ya Feisal Salum aliyeshinda mwezi September 2022.

Katika hatua nyingine, Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba SC, Juma Mgunda amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa Ligi Kuu ya NBC kwa mwezi November 2022.

Mgunda ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda Hans Van Pluijm wa Singida Big Stars na Meck Mexime wa Kagera Sugar ambao aliingia nao Fainali ya kinyang’anyiro hicho.

Msimamo Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023

WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023

Juma Mgunda Kocha bora November 2022

Juma Mgunda Kocha bora November 2022

Katika mwezi November Mgunda ameiongoza Klabu ya Simba SC kushinda mechi nne na kutoka sare mbili kati ya sita ilizocheza.

Mechi nne alizoshinda ni dhidi ya Ihefu SC, Namungo FC, Ruvu Shooting FC na Polisi Tanzania FC huku ikitoka sare dhidi ya Mbeya City FC na Singida Big Stars FC.

Taarifa zaidi soma hapa

Tuzo za Ligi Kuu Tanzania Bara November 2022

Tuzo za Ligi Kuu Tanzania Bara November 2022

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Donwlod HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

The post Mayele, Mgunda watwaa tuzo Ligi Kuu Bara appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz