Majeraha yamuweka nje Moses Phiri - EDUSPORTSTZ

Latest

Majeraha yamuweka nje Moses Phiri

Majeraha yamuweka nje Moses Phiri

Majeraha yamuweka nje Moses Phiri

Majeraha yamuweka nje Moses Phiri

Majeraha yamuweka nje Moses Phiri

Mshambuliaji na kinara wa mabao wa Klabu ya Simba, Moses Phiri anauguza majeraha aliyopata kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar.

Hilo limefahamika baada ya vipimo vilivyofanyika Jijini Mwanza ambapo taarifa ya ukubwa wa majeraha itatolewa baada ya majibu ya vipimo kutolewa.

Kwenye mchezo huo uliofanyika juzi Jumatano ya December 21, 2022 kwenye Uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba uliisha kwa sare ya bao 1-1.

Bao la Kagera Sugar FC lilifungwa na beki wa kati Deus Bukenya dakika ya 16 huku la Simba likifungwa na beki wa kati pia Henock Inonga dakika 38.

Aidha wadau wa Soka nchini wameendelea kulaani matukio yasiyo ya kiungwana kwenye soka ambayo yanahatarisha afya za Wachezaji wengine.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Donwlod HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari.

The post Majeraha yamuweka nje Moses Phiri appeared first on Nijuze Mpya.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz