KAZE tuko tayari, wawili kuikosa Coastal Union - EDUSPORTSTZ

Latest

KAZE tuko tayari, wawili kuikosa Coastal Union

KAZE tuko tayari, wawili kuikosa Coastal Union

KAZE tuko tayari, wawili kuikosa Coastal Union

Yanga vs Coastal Union, Yanga vs Coastal, Yanga SC vs Coastal Union FC, Yanga sc vs Coastal Union, Young Africans vs Coastal Union Football Club, Yanga Sports Club vs Coastal Union, Wawili Yanga kuikosa Coastal Union, wawili Young Africans kuikosa Coastal, Coastal vs Yanga leo.

KAZE tuko tayari, wawili kuikosa Coastal Union

KAZE tuko tayari, wawili kuikosa Coastal Union

Kocha Msaidizi wa Klabu ya Young Africans, Cedric Kaze amesema kuwa kikosi chake kiko tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union ambao unatatajiwa kupigwa kesho Jumanne ya December 20, 2022, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Akizungumza katika Mkutano na Wanahabari kuelekea mchezo huo, Kaze amesema mara nyingi Coastal Union ni timu inayowapa changamoto kila wanapokutana nayo.

Lakini anaamini Yanga iko kwenye wakati mzuri zaidi kuwakabili wagosi hao wa kaya wenye makazi yao Jijini Tanga.

“Tuna deni na mashabiki wetu kwenye mbio za ubingwa, naamini tuko vizuri kuwakabili Coastal Union, timu ambayo inatupa ushindani mkubwa kila tunapokutana,” alisema Kaze

Kaze ameongeza kuwa pamoja na Coastal Union kutokuwa na matokeo mazuri katika msimu huu, timu hiyo ina wachezaji wengi wenye vipaji, hawapaswi kuwadharau

Akizungumzia utayari wa kikosi chake, Kaze amesema kuwa ukimuondoa mlinda lango wao nambari mbili Aboutwalib Mshery ambaye ni majeruhi, mwingine ni winga Tuisila Kisinda aliyepata changamoto katika mchezo dhidi ya Polisi Tanzania na baada ya mazoezi ya mwisho leo, watafanya tathmini kuona kama ataweza kutumika hapo kesho.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Donwlod HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari.

The post KAZE tuko tayari, wawili kuikosa Coastal Union appeared first on Nijuze Mpya.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz