FAHAMU Jinsi ya kuweka na kutoa Pesa Gal Sport - EDUSPORTSTZ

Latest

FAHAMU Jinsi ya kuweka na kutoa Pesa Gal Sport

FAHAMU Jinsi ya kuweka na kutoa Pesa Gal Sport

FAHAMU Jinsi ya kuweka na kutoa Pesa Gal Sport

FAHAMU Jinsi ya kuweka na kutoa Pesa Gal SportFAHAMU Jinsi ya kuweka na kutoa Pesa Gal Sport, Gal Sport Betting  ikijulikana kwa kifupi kama GSB ni kampuni ya michezo ya kubashiri iliyoteka soko kubwa Tanzania na Uganda.

Ikiwa imeanzishwa mwaka 2017 Gal Sport Betting ni miongoni mwa makampuni maarufu kwa sasa nchini Tanzania.

Gal Sport Betting ikiwa na michezo mingi na chaguzi nyingi pia, kampuni hii pia inayo michezo pendwa ya casino za mtandaoni.

Kampuni ya Gal Sport Betting inafanya kila jitihada kuhakikisha wateja wake wanapo huduma bora yenye viwango vya kimataifa.

Kupitia huduma za kifedha zitolewazo na makampuni yote makubwa yaliyopo nchini Tanzania, wateja wa Gal Sport Betting wanaweza kutoa na kuweka pesa katika akaunti zao kwa urahisi kabisa.

Wateja wa Gal Sport Betting wanaweza kutoa au kuweka Pesa kupitia M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa na Halo Pesa.

● Ingia kwenye akaunti yako
● Chagua akaunti ya simu
● Andika kiasi unachotaka kuweka
● Bofya kitufe cha kuanza mchakato wa kuweka

Utapata ukurasa ibukizi wa USSD, ingiza namba yako ya siri kumalizia kuweka.

Jinsi ya Kutoa kupitia simu

● Ingia kwenye akaunti yako
● Bofya kwenye kutoa
● Chagua akaunti ya simu
● Ingiza kiasi unachotaka kutoa
● Ingiza namba yako ya siri
● Kiasi kitawekwa kwenye akaunti yako
NB: Inatakiwa utumie namba ile ile uliyotumia kujiandikisha tu!

Kutoa na USSD

1:Andika kiasi unachotaka kutoa na neno la siri.
2:Utatumiwa code ya kutolea kwenye simu yako kwa njia ya ujumbe.
3:Piga *148*53#
4:Chagua (3) kwa kutoa kwenye mtandao.
5:Ingiza code ya kutoa iliyotumwa kwenye simu yako.
6:Thibitisha na uangalie sms ya kuthibitisha muamala.

JISAJILI HAPA KUBET NA GAL SPORT

1:Kuangalia mikeka yako, Ingia kwenye akaunti yako.
2:Bonyeza mikeka yangu
3:Utaona mikeka yako yote ya nyuma, kwa mfano mikeka ya leo au siku tatu za nyuma au hata mwezi nk.

Kiwango cha chin cha kubashiri ni Tsh 500

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Donwlod HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari.

The post FAHAMU Jinsi ya kuweka na kutoa Pesa Gal Sport appeared first on Nijuze Mpya.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz