YANGA yatua salama Tunisia - EDUSPORTSTZ

Latest

YANGA yatua salama Tunisia

YANGA yatua salama Tunisia

YANGA yatua salama Tunisia

MATOKEO Club Africain vs Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023, CAF Confederations Cup 2022, Yanga vs Club Africain Kombe la Shirikisho AfrikaYanga vs Club Africain Kombe la Shirikisho, Yanga vs Club Africain, Live Yanga vs Club Africain, Matokeo ya Yanga SC vs Club Africain leo, Yanga SC vs Club Africain, Matokeo Yanga vs Club Africain November 09 2022, Club Africain vs Yanga leo, Live Yanga vs Club Africain, Matokeo Yanga v Club Africain leo, Yanga vs Club Africain, Club Africain vs Yanga, CAF Confederation Cup 2022, Yanga vs Club Africain CAF Confederation Cup

YANGA yatua salama Tunisia

YANGA yatua salama Tunisia

BAADA ya safari ya masaa saba na nusu angani, kikosi cha Young Africans kimetua salama kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Carthage nchini Tunisia.

Baada ya kutua, kikosi hicho kitaanza safari ya kuelekea kwenye Mji wa Sousse watakapoweka kambi ya siku mbili kabla ya kurejea tena Mjini Tunis, utakapopigwa mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho la CAF dhidi ya Club Africain.

Ili Yanga ifuzu kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la CAF itatakiwa kushinda au kupata sare yoyote ya mabao, baada ya mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Tanzania kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kumalizika kwa matokeo ya sare 0-0.

Katika hatua nyingine, Kampuni Bora ya kubet Tanzania SOKABET inakukaribisha kuweka bashiri zako katika Michezo Mbalimbali kama LIVE Casino, Slots, Zeppelin, Virtual Game, Basketball na Mpira wa Miguu.

Faida ya kuweka bashiri zako kupitia SOKABET ni upatikanaji wa Bonusi za Viwango, kama 100% kwa wekezo la kwanza, 10% kwa Casino na Mpira wa Miguu Pamoja na Multibonus hadi 750.YANGA yaifutua Club Africain, mmoja abaki Dar

Sehemu pekee ya kupiga pesa kiurahisi na kufanya miamala kwa haraka zaidi ni SOKABET the best sports Betting in Tanzania.

Aidha Nijuze Habari Kupitia nijuzehabari.co.tz tutakuleta moja kwa moja Matokeo ya mchezo huo unaotarajiwa kupigwa Jumatano ya tarehe 9 November 2022 kwenye Uwanja wa Hammedi Agrebi Olympic nchini Tunisia, majira ya saa 10:00 jioni kwa masaa ya Tanzania.

Pamoja na Matokeo pia Nijuze Habari itakuletea Kikosi Cha Young Africans Kitachoanza dhidi ya Club Africain mapema iwezekanavyo.

The post YANGA yatua salama Tunisia appeared first on Nijuze Mpya.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz