NABI aeleza jinsi ratiba ilivyosababisha majeruhi - EDUSPORTSTZ

Latest

NABI aeleza jinsi ratiba ilivyosababisha majeruhi

(YANGA vs Club Africain) NABI aeleza jinsi ratiba ilivyosababisha majeruhi

(YANGA vs Club Africain) NABI aeleza jinsi ratiba ilivyosababisha majeruhi

MATOKEO Club Africain vs Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023, CAF Confederations Cup 2022, Yanga vs Club Africain Kombe la Shirikisho AfrikaYanga vs Club Africain Kombe la Shirikisho, Yanga vs Club Africain, Live Yanga vs Club Africain, Matokeo ya Yanga SC vs Club Africain leo, Yanga SC vs Club Africain, Matokeo Yanga vs Club Africain November 02 2022, Club Africain vs Yanga leo, Live Yanga vs Club Africain, Matokeo Yanga v Club Africain leo, Yanga vs Club Africain, Club Africain vs Yanga, CAF Confederation Cup 2022, Yanga vs Club Africain CAF Confederation Cup.

(YANGA vs Club Africain) NABI aeleza jinsi ratiba ilivyosababisha majeruhi

(YANGA vs Club Africain) NABI aeleza jinsi ratiba ilivyosababisha majeruhi

KUELEKEA Mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika kati ya Young Africans SC dhidi ya Club Africain ya Tunisia, Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amezungumza na Waandishi wa Habari, Mkutano uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano, Makao Makuu ya TFF.

NABI amesema kuwa pamoja na kutopata muda wa kutosha kujiandaa na Mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain, wamedhamiria kushinda mchezo huo.

Nabi ameongeza kuwa watacheza kwa tahadhari kubwa akitambua ubora wa Club africain yenye Wachezaji wengi Chipukizi na Mahiri katika Mashambulizi ya Kushitukiza.

Kocha huyo raia wa Tunisia, amesema kuwa wanafahamu umuhimu wa Mchezo huo na jambo la muhimu kwao ni kupata Matokeo Mazuri hapa Nyumbani.

“Tunajua umuhimu wa mchezo huu kwetu kwa mashabiki na kwa Watanzania wote kwa ujumla na matarajio yetu ni kuhakikisha tunautumia Uwanja wa nyumbani kupata matokeo mazuri”

“Club Africain wana timu nzuri na Wachezaji wenye uzoefu pamoja na wachezaji chipukizi. Ni wazuri kwenye mipira ya kufa na mashambulizi ya haraka, pamoja na kwamba tunahitaji matokeo mazuri nyumbani pia tutacheza kwa tahadhari tusiruhusu goli”

“Wachezaji wako tayari na wameahidi kupambana, tunaomba sapoti kwa Mashabiki wetu kujitokeza kwa wingi, nguvu yao ni muhimu sana kwenye mchezo wetu wa kesho,” alisema Nabi

Katika hatua nyingine Nabi ameeleza masikitiko yake kutokana na ratiba ya mechi za mfululizo ambazo kikosi chake kimecheza kwenye Ligi na kupelekea baadhi ya nyota wake muhimu kupata majeruhi.

Nabi amebainisha kuwa uongozi wa Yanga uliomba mchezo dhidi ya Geita Gold uahirishwe lakini hawakukubaliwa.

“Muda ni mchache, tumetoka kwenye ratiba ngumu na mechi zilikuwa zinafatana. Tuliliomba Shirikisho letu kusogeza mbele mchezo wetu wa Ligi dhidi ya Geita Gold lakini hatukupata majibu tuliyoyatarajia. Ratiba hii imetuletea majeruhi kwa baadhi ya wachezaji”

“Kwenye mchezo dhidi ya Geita tulipata majeraha ya wachezaji wawili muhimu, sitaweza kuwataja kwa sasa kwa sababu wapinzani wetu wanatufatilia kwa karibu”.

Katika mchezo wa kwanza utakaochezwa majira ya saa 10:00 jioni, viingilio tayari vimeshatangazwa ambapo kwa VIP A itakuwa Tsh 15,000, VIP B & C itakuwa ni Tsh 10,000, Mzunguko itakuwa Tsh 3,000 na Mzunguko siku ya mechi itakuwa Tsh 5,000.

Katika hatua nyingine, Kampuni Bora ya kubet Tanzania SOKABET inakukaribisha kuweka bashiri zako katika Michezo Mbalimbali kama LIVE Casino, Slots, Zeppelin, Virtual Game, Basketball na Mpira wa Miguu.

Faida ya kuweka bashiri zako kupitia SOKABET ni upatikanaji wa Bonusi za Viwango, kama 100% kwa wekezo la kwanza, 10% kwa Casino na Mpira wa Miguu Pamoja na Multibonus hadi 750.

Sehemu pekee ya kupiga pesa kiurahisi na kufanya miamala kwa haraka zaidi ni SOKABET the best sports Betting in Tanzania.

Aidha Nijuze Habari Kupitia nijuzehabari.co.tz tutakuleta moja kwa moja Matokeo ya mchezo huo unaotarajiwa kupigwa Jumatano ya November 02,2022 kuanzia saa 10:00 Jioni kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Pamoja na Matokeo pia Nijuze Habari itakuletea Kikosi Cha Young Africans Kitachoanza dhidi ya Club Africain mapema iwezekanavyo.

KUONA Kikosi Cha Yanga SC vs Club Africain CAF Confederation Cup Bofya HAPA

LIVE Simba SC vs Mtibwa Sugar October 30 2022

KUONA Matokeo ya Mchezo huo Kati ya Yanga SC vs Club Africain Bofya HAPA.

The post NABI aeleza jinsi ratiba ilivyosababisha majeruhi appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz