TIMU ambazo Yanga inaweza kutana nazo CAF Confederation Cup 2022/2023
Timu ambazo Yanga inaweza kukutana nazo CAF Confederation Cup 2022/2023, Wapinzani wa Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023, Yanga yatupwa Shirikisho Afrika, CAF Confederations Cup 2022, Timu zitakazokutana na Yanga SC Kombe la Shirikisho 2022/2023, CAF Confederation Cup 2022/2023, Makundi ya CAF Confederation Cup, Makundi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika 2022/2023.
Baada ya kuondoshwa na Al Hilal Omduraman ya Sudan kwenye Michuano ya Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League) kwa Jumla ya mabao 2-1 Klabu ya Yanga inayo nafasi nyingine kwenye michuano hiyo mara hii ikiwa na Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup).
TIMU ambazo Yanga inaweza kutana nazo CAF Confederation Cup 2022/2023
Yanga bado ina nafasi nyingine kwenye Michuano hiyo kwani itacheza Michezo mingine miwili ya mtoano kuwania nafasi ya kutinga hatua ya Makundi katika michuano hiyo ya pili kwa ukubwa ngazi ya Vilabu Barani Afrika.
Nijuze Habari imekuwekea hapa timu 15 ambazo Yanga inaweza kukutana nazo kwenye kuwania Kufuzu Makundi ambapo timu zote zilizotelewa CAF Champions League haziwezi kukutana kwenye hatua hii.
Kuona timu ambazo Yanga inaweza kukutana nazo kwenye Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup 2022/2023) Bofya HAPA.
-
TIMU zilizofuzu hatua ya Makundi CAF Champions League 2022/2023
- TIMU ambazo Yanga inaweza kutana nazo CAF Confederation Cup 2022/2023
The post TIMU ambazo Yanga inaweza kutana nazo CAF Confederation Cup 2022/2023 appeared first on Nijuze Mpya.
No comments:
Post a Comment