MATOKEO Yanga SC vs Ruvu Shooting FC October 03 2022 NBC Premier League - EDUSPORTSTZ

Latest

MATOKEO Yanga SC vs Ruvu Shooting FC October 03 2022 NBC Premier League

MATOKEO Yanga SC vs Ruvu Shooting FC October 03 2022 NBC Premier League

MATOKEO Yanga SC vs Ruvu Shooting FC October 03 2022 NBC Premier League

Young Africans vs Ruvu Shooting,Yanga vs Ruvu Shooting, Ruvu Shooting vs Young Africans Results , Matokeo Yanga vs Ruvu Shooting Leo,Matokeo Yanga vs Ruvu leo, Results Yanga vs Ruvu Shooting October 3,2022.

BAADA ya Mapumziko ya wiki mbili kupisha Kalenda ya FIFA, Klabu ya Yanga leo Jumatatu inarejea ‘mzigoni’ katika Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023).

MATOKEO Yanga SC vs Ruvu Shooting FC October 03 2022 NBC Premier League

MATOKEO YANGA VS RUVU SHOOTING

Mchezo huo utachezwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia majira ya saa 12:15 jioni, huku Yanga SC wakiwa wageni wa Maafande wa Ruvu Shooting katika mchezo unaotarajiwa kuwa na upinzani mkali.

Kuelekea mchezo huo, Yanga leo inatarajiwa kuwakosa baadhi ya wachezaji kama Jesus Moloko, Chrispine Ngushi, Gael Bigirimana, Khalid Aucho, Bernard Morrison na Stephane Aziz Ki kutokana na sababu mbalimbali.

Aidha Nijuze Habari kupitia nijuzehabari.co.tz itakuletea Live update ya mchezo huo, kuanzia saa 12:15 jioni.

Kuona Matokeo ya Mchezo huo Bofya HAPA, kuona Kikosi Bofya HAPA.

Matokeo Yanga vs Ruvu Shooting leo 3.10.2022,Matokeo Yanga sc vs Ruvu Shooting leo tarehe 3, 10 2022 NBC Premier League Results,Matokeo ya Yanga leo October 3 2022.

The post MATOKEO Yanga SC vs Ruvu Shooting FC October 03 2022 NBC Premier League appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz