MATOKEO Simba vs Dodoma Jiji October 02 2022| NBC Premier League - EDUSPORTSTZ

Latest

MATOKEO Simba vs Dodoma Jiji October 02 2022| NBC Premier League

MATOKEO Simba vs Dodoma Jiji October 02 2022| NBC Premier League

MATOKEO Simba vs Dodoma Jiji October 02 2022| NBC Premier League

Simba SC vs Dodoma Jiji FC 02 October 2022, NBC Premier League, Matokeo Simba SC vs Dodoma Jiji October 02,2022 Results, Matokeo NBC Premier League 02 October 2022,Muda wa Mechi Simba vs Dodoma Jiji FC , Matokeo Simba vs Dodoma Jiji October 02 2022, Matokeo Simba vs Dodoma Jiji, Matokeo Simba vs Dodoma, Results Simba vs Dodoma Jiji FC, Matokeo NBC Premier League 2022.

MATOKEO Simba vs Dodoma Jiji October 02 2022| NBC Premier League

MATOKEO SIMBA SC VS DODOMA JIJI

KLABU ya Simba SC leo saa Jumapili majira ya saa moja Usiku itashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Dodoma Jiji katika muendelezo wa Mechi za Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023).

Mchezo wa leo utakuwa wa tano (5) wa Simba SC msimu huu wa 2022/2023, ikipata ushindi kwenye michezo minne na kutoka sare mmoja ambapo imejikusanyia alama 10.

  • Nijuze Habari kupitia nijuzehabari.co.tz tutakuletea LIVE Update ya mchezo huo pamoja na Kikosi kitakachoanza mapema, ili kupata MATOKEO Bofya HAPA na kwa KIKOSI kitakachoanza Bofya HAPA.

Kuelekea Mchezo huo, Kocha Msaidizi Seleman Matola ameweka wazi kuwa mchezo huo utakuwa mgumu licha ya Dodoma Jiji kutoanza vizuri msimu kutokana na Matokeo waliopata.

Matola ameongeza kuwa mara zote kila timu inapokutana Simba inapambana kuonyesha uwezo ndiyo maana wataingia kwa tahadhari zote bila kuidharau Dodoma.watatu Simba kuikosa Dodoma Jiji FC, Wachezaji wa Simba wakaokosekana dhidi ya Dodoma Jiji, Pape Ousmane Sakho kuikosa Dodoma Jiji, Shomari Kapombe kuikosa Dodoma Jiji FC, Peters Banda kuikosa Dodoma Jiji FC.

Naye Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ ambaye ni Nahodha Msaidizi wa Klabu hiyo amewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanjani ili kuwapa sapoti Wachezaji na kuchagiza kupatikana kwa ushindi.

Katika Mchezo huo, Simba itawakosa nyota wake watatu ambao ni Shomari Kapombe, Peter Banda na Pape Ousmane Sakho.

Nijuze Habari kupitia nijuzehabari.co.tz tutakuletea LIVE Update ya mchezo huo pamoja na Kikosi kitakachoanza mapema, ili kupata MATOKEO Bofya HAPA na kwa KIKOSI kitakachoanza Bofya HAPA.

Simba SC vs Dodoma Jiji FC 02 October 2022, NBC Premier League, Matokeo Simba SC vs Dodoma Jiji October 02,2022 Results, Matokeo NBC Premier League 02 October 2022,Muda wa Mechi Simba vs Dodoma Jiji FC , Matokeo Simba vs Dodoma Jiji October 02 2022, Matokeo Simba vs Dodoma Jiji, Matokeo Simba vs Dodoma, Results Simba vs Dodoma Jiji FC, Matokeo NBC Premier League 2022.

The post MATOKEO Simba vs Dodoma Jiji October 02 2022| NBC Premier League appeared first on Nijuze Mpya.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz