LIVE Yanga SC vs KMC FC October 26 2022 - EDUSPORTSTZ

Latest

LIVE Yanga SC vs KMC FC October 26 2022

LIVE Yanga SC vs KMC FC October 26 2022

LIVE Yanga SC vs KMC FC October 26 2022

Yanga vs KMC FC October 26 2022, KMC FC SC vs Yanga SC, Matokeo Yanga vs KMC 26 October 2022, Matokeo Young Africans SC vs KMC 26 October 2022, KMC FC vs Yanga SC NBC Premier League, Matokeo ya Yanga vs KMC Yanga Ligi Kuu, KMC vs Yanga, Matokeo KMC FC vs Yanga SC October 26 2022, Yanga SC vs KMC NBC Premier League 2022/2023, Yanga vs KMC October 26 2022, Young Africans SC vs KMC FC October 26 2022, Yanga SC vs KMC 26 October 2022, Live Updates Yanga SC KMC Live Yanga vs KMC October 26 2022.

LIVE Yanga SC vs KMC FC October 26 2022

LIVE Yanga SC vs KMC FC October 26 2022

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans SC Leo Jumatano ya October 26 2022 watashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuwakabili KMC FC, Mchezo utakaopigwa kuanzia saa 1:00 Usiku.

Mchezo huo hautakuwa mwepesi kutokana na ubora ambao KMC wanao msimu huu wa 2022/2023.

Ni Mchezo muhimu kwa Young Africans, na ushindi utarejesha morali kwa wachezaji na benchi lake baada ya kucheza mechi tatu pasipo Ushindi.

KMC FC wapo nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi wakiwa wamekusanya pointi 13 baada ya kucheza mechi nane, na wakiibuia na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC na sare ya mabao 2-2 dhidi ya Simba kwenye michezo Mikubwa waliyocheza hivi karibuni.

Ni Mchezo wa saba kwa Young Africans, ikicheza mechi 6 na kukusanya pointi 14, kwenye Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa nafasi ya pili kwa tofauti ya Magoli na watani zao Simba SC.

Tayari Viingilio vya mchezo huo vimewekwa wazi na Bodi ya Ligi ambapo kwa VIP A itakuwa ni Tsh 15,000 na VIP B na C itakuwa Tsh 10,000 huku Mzunguko ikitarajiwa kuwa Tsh 5,000 tu.

Aidha Nijuze Habari Kupitia nijuzehabari.co.tz tutakuleta moja kwa moja Matokeo ya mchezo huo unaotarajiwa kupigwa kesho Jumatano ya October 26,2022 kuanzia saa 1:00 Usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Pamoja na Matokeo pia Nijuze Habari pua itakuletea Kikosi Cha Yanga Kinachoanza dhidi ya KMC mapema iwezekanavyo, kuona Kikosi Cha Young Africans SC bofya HAPA.

Kuona Kikosi Cha Matokeo ya Mchezo huo Kati ya Yanga vs KMC FC bofya HAPA.

The post LIVE Yanga SC vs KMC FC October 26 2022 appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz