LIVE Simba vs Mtibwa Sugar October 30 2022 - EDUSPORTSTZ

Latest

LIVE Simba vs Mtibwa Sugar October 30 2022

LIVE Simba vs Mtibwa Sugar October 30 2022

LIVE Simba vs Mtibwa Sugar October 30 2022

Mtibwa Sugar FC vs Simba SC October 30 2022, Kikosi Cha Mtibwa Sugar FC vs Simba Sports Club leo, Kikosi Cha Simba SC vs Mtibwa Sugar leo 30 October 2022, Kikosi kitakachoanza Simba vs Mtibwa, Kikosi Cha Simba vs Mtibwa 30 October 2022, Simba vs Mtibwa NBC Premier League, Kikosi kitakachoanza Simba vs Mtibwa Ligi Kuu, Simba vs Mtibwa Sugar FC.

LIVE Simba vs Mtibwa Sugar October 30 2022

LIVE Simba vs Mtibwa Sugar October 30 2022

LIGI Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023) inatarajiwa kuendelea leo Kikao ya October 30 ambapo Simba itakuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa kuwakabili Mtibwa Sugar FC ya Morogoro.

Baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Azam Fc, mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa Sugar utakuwa mchezo wa muhimu na wa kipekee kwa Simba SC.

Simba inahitaji kushinda mchezo huo ili kurejea katika nafasi za juu kwenye Msimamo wa Ligi Kuu.

Habari njema kwa Simba ni kurejea kikosini kwa wachezaji waliokosekana katika michezo iliyopita kutokana na changamoto mbalimbali, Sadio Kanoute, Shomari Kapombe na Israel Mwenda wamepona majeraha wakati Mzamiru Yassin amemaliza adhabu ya kutumikia kadi tatu za njano

Wachezaji Wawili pekee ndiyo wanatarajiwa kukosekana kwenye mchezo uio ambao ni Nelson Okwa na Jimmyson Mwanuke.

Katika hatua nyingine, Kampuni Bora ya kubet Tanzania SOKABET inakukaribisha kuweka bashiri zako katika Michezo Mbalimbali kama LIVE Casino, Slots, Zeppelin, Virtual Game, Basketball na Mpira wa Miguu.

Faida ya kuweka bashiri zako kupitia SOKABET ni upatikanaji wa Bonusi za Viwango, kama 100% kwa wekezo la kwanza, 10% kwa Casino na Mpira wa Miguu Pamoja na Multibonus hadi 750.

Sehemu pekee ya kupiga pesa kiurahisi na kufanya miamala kwa haraka zaidi ni SOKABET the best sports Betting in Tanzania.

Aidha Nijuze Habari Kupitia nijuzehabari.co.tz tutakuleta moja kwa moja Matokeo ya mchezo huo unaotarajiwa kupigwa Leo Jumamosi ya October 29,2022 kuanzia saa 10:00 Jioni kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Jijini Mwanza.

Pamoja na Matokeo pia Nijuze Habari itakuletea Kikosi Cha Young Africans Kinachoanza dhidi ya Geita Gold FC mapema iwezekanavyo.

KUONA Kikosi Cha Simba SC kinachoanza vs Mtibwa Sugar Bofya HAPA

LIVE Simba SC vs Mtibwa Sugar October 30 2022

KUONA Matokeo ya Mchezo huo Kati ya Simba SC vs Mtibwa Sugar Bofya HAPA.

The post LIVE Simba vs Mtibwa Sugar October 30 2022 appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz