WAPINZANI wa Simba raundi ya Kwanza CAF Champions League hawa hapa - EDUSPORTSTZ

Latest

WAPINZANI wa Simba raundi ya Kwanza CAF Champions League hawa hapa

SABABU zatajwa Simba kuanzia hatua ya awali CAF Champions League

WAPINZANI wa Simba raundi ya Kwanza CAF Champions League hawa hapa

Simba SC vs Primeiro De Agosto, Simba vs De Agosto, Simba Sports Club vs Primeiro De Agosto, Simba Sports Club vs Primeiro De Agosto CAF Champions League, Simba SC vs Primeiro De Agosto, CAF Champions League, Simba SC CAF Champions League, Simba SC raundi ya Kwanza, Simba kucheza na Primeiro De Agosto.

WAPINZANI wa Simba raundi ya Kwanza CAF Champions League hawa hapa

SIMBA SC vs PRIMEIRO DE AGOSTO

Ni rasmi saaa Klabu ya Simba SC itakutana na Primeiro De Agosto ya Angola kwenye raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League 2022/2023).

De Agosto imesonga mbele katika hatua hiyo kufuatia Ushindi wa Jumla wa mabao 2-1 baada ya kuambulia sare ya bao 1-1 dhidi ya Red Arrows ya Zambia kwenye mchezo wa Leo.PRIMEIRO DE AGOSTO V SIMBA SC

Mapema Jana Klabu ya Simba ilijihakikishia tiketi ya kutinga raundi ya kwanza baada ya ushindi wa Jumla wa mabao 4-0 dhidi ya Nyasa Big Bullets ya Malawi.

Katika hatua hiyo Simba itaanzia Ugenini nchini Angola Kati ya October 7-9 na mchezo wa marudiano unatajiwa kupigwa Jijini Dar es Salaam kati ya October 14-16 2022.

Mshindi wa Jumla katika raundi hiyo ya Kwanza atatinga hatua ya Makundi ya Michuano hiyo Mikubwa Barani Afrika (CAF Champions League) Ngazi ya Vilabu.

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya | Jisajili hapa Kushinda Zawadi

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya

BETI NA PARMATCH USHINDE MAMILIONI

Kampuni ya Michezo ya KUBETI na KASINO za Mtandaoni Tanzania PARMATCH imezindua Ofa mpya ya Bonasi kwa Wateja wapya.

Kila mteja mpya atakayejisajili na PARMATCH atajinyakulia BONASI sawa na kiasi alichoweka kwa mara ya kwanza kuanzia Shilingi 1,000 hadi milioni moja kwa kila mteja.

Akizungumza katika uzinduzi wa BONASI hiyo Afisa Masoko wa Parmatch amesema kuwa Bonasi hiyo itawahusu wateja wapya watakaojisajili na kuweka salio kwenye akaunti zao.

Ili uweze kujisajili na PARMATCH unatakiwa kutembelea tovuti yao kwa kugusa HAPA Kisha Jisajili.

Kujiunga na PARMATCH na kupata Bonasi ya hadi 1,000,000 (Milioni Moja) Ukideposit salio kwenye akaunti yako Bofya HAPA.

Unaweza kupata Taarifa hii kwa undani zaidi kwa kubofya Parmatch.co.tz

The post WAPINZANI wa Simba raundi ya Kwanza CAF Champions League hawa hapa appeared first on Nijuze Mpya -| Pata Habari zote za Michezo kitaifa na Kimataifa, Tetesi na Usajili, Magazeti ya Michezo, Ratiba na Matokeo, Mahusiano Pamoja na Nafasi za Kazi.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz