RATIBA ya Michezo ya Leo Jumanne September 27 2022 - EDUSPORTSTZ

Latest

RATIBA ya Michezo ya Leo Jumanne September 27 2022

RATIBA ya Michezo ya Leo Jumanne September 27 2022

RATIBA ya Michezo ya Leo Jumanne September 27 2022

Ratiba ya Michezo ya Leo Jumanne, Ratiba ya Mechi za Leo Jumanne, Ratiba ya Mpira wa Miguu Leo, Ratiba ya Soka Leo, Ratiba ya Mechi za Leo, Ratiba ya Michezo ya Leo, Ratiba ya Soka Leo, Michezo ya Leo, Nijuze Habari Leo, Ratiba, Ratiba ya Mechi, Ratiba ya Soka, Ratiba ya Mpira, Nijuze Habari Katika Michezo, Nijuze Habari kwenye Soka, Nijuze Habari kwenye Mpira, Nijuze Habari za Soka Leo, Nijuze Habari za Mpira Leo, Nijuze Habari za Michezo Leo, Nijuze Michezo Leo, Nijuze Habari za Michezo Mpya Leo, Nijuze Habari za Michezo Leo.

RATIBA ya Michezo ya Leo Jumanne September 27 2022

RATIBA YA MICHEZO YA LEO JUMANNE

👉UEFA Nations League – League A: Group 2
21:45 Portugal vs Spain
21:45 Switzerland vs Czech Republic

👉UEFA Nations League – League B: Group 1
21:45 Republic of Ireland vs Armenia
21:45 Ukraine vs Scotland

👉UEFA Nations League – League B: Group 2
21:45 Albania vs Iceland

👉UEFA Nations League – League B: Group 4
21:45 Norway vs Serbia
21:45 Sweden vs Slovenia

👉UEFA Nations League – League C: Group 2
21:45 Greece vs Northern Ireland
21:45 Kosovo vs Cyprus

👉International – Friendlies
11:00 Brunei vs Laos
13:00 DR Congo vs Sierra Leone
14:00 South Korea vs Cameroon
14:45 Nepal vs Bangladesh
14:55 Japan vs Ecuador
15:00Vietnam vs India
16:00 Indonesia vs Curacao
16:00 South Africa vs Botswana
17:00 Equatorial Guinea vs Togo
17:30 Senegal vs Iran
18:00 UAE vs Venezuela
18:30 Bahrain vs Panama
19:00 Canada vs Uruguay
20:00Libya vs Tanzania
20:00 Qatar vs Chile
21:00 Egypt vs Liberia
21:00 Ivory Coast vs Guinea
21:00 Nicaragua vs Ghana
21:00 Saudi Arabia vs USA
21:00 Uzbekistan vs Costa Rica
21:30 Brazil vs Tunisia
22:00 Algeria vs Nigeria
22:00 Burkina Faso vs Comoros
22:00 Malta vs Israel
22:00 Paraguay vs Morocco

👉England – League 2
21:45 Grimsby Town vs Carlisle United

👉Turkiye – Turkiye Cup
13:00 Inegolspor vs Agri 1970 Spor
14:30 Ankaraspor vs Kepez Belediye Antalya
14:30 Zonguldak Komurspor vs Gumushanespor
15:00 Kocaelispor vs Ayvalikgucu Belediyespor
15:00 Soma Spor Dernegi vs Efeler 09
17:30 Balikesirspor vs Yeni Altindag Belediyespor

👉Euro U21 – Qualification Play-off
18:30 Ukraine U21 vs Slovakia U21
19:00 Czech Republic U21 vs Iceland U21
19:00 Denmark U21 vs Croatia U21
20:15 Israel U21 vs Republic of Ireland U21

👉International – Club Friendlies
14:00 Kokand 1912 vs Neftchi Fargona
16:00 Levski Sofia vs Sportist Svoge

👉International – Friendlies U21
18:00 Azerbaijan U21 vs Moldova U21
18:00 Bulgaria U21 vs Serbia U21
18:00 Romania U21 vs Netherlands U21
18:30 Poland U21 vs Latvia U21
19:30 Spain U21 vs Norway U21
20:00 Turkiye U21 vs Georgia U21
21:00 Hungary U21 vs Lithuania U21
21:30 Austria U21 vs Wales U21
21:45 England U21 vs Germany U21

👉International – Friendlies U20
16:15 Poland U20 vs Portugal U20
18:00 England U20 vs Australia U20

👉Angola – Girabola
17:30 CD Huila vs Gd Isaac
18:00 Petro Atletico vs FC Bravos do Maquis

👉Euro U19 – Qualification: Group 1
19:30 Andorra U19 vs Switzerland U19
19:30 Greece U19 va Czech Republic U19

👉Euro U19 – Qualification: Group 2
17:00 Bulgaria U19 vs Turkiye U19
17:00 Luxembourg U19 vs Azerbaijan U19

👉Euro U19 – Qualification: Group 4
20:00 Gibraltar U19 vs Wales U19
20:00 Hungary U19 vs Republic of Ireland U19

👉Euro U19 – Qualification: Group 5
15:00 Estonia U19 vs Bosnia and Herzegovina U19
15:00 Poland U19 vs Italy U19

👉Euro U19 – Qualification: Group 6
16:00 Lithuania U19 vs Latvia U19
16:00 Romania U19 vs Austria U19

👉Euro U19 – Qualification: Group 7
17:00 Belgium U19 vs Spain U19

👉Euro U19 – Qualification: Group 9
15:00 Denmark U19 vs England U19
15:00 Montenegro U19 vs Georgia U19

👉Euro U19 – Qualification: Group 12
17:00 Armenia U19 vs Belarus U19
17:00 Slovakia U19 vs Germany U19

👉Euro U19 – Qualification: Group 13
20:30 Moldova U19 vs Northern Ireland U19
20:30 Slovenia U19 vs Netherlands U19

👉Argentina – Cup
22:00 Banfield vs Godoy Cruz Antonio Tomba

WAFAHAMU Al Hilal Wapinzani wa Yanga CAF Champions League 2022/2023

Yanga vs Al Hilal CAF Champions League 2022/23 ,Young Africans vs Al Hilal, Young Africans vs AL-Hilal, Yanga vs Al-Hilal CAF Champions League, Yanga vs Al Hilal CAF, Al Hilal vs Yanga, Al Hilal wapinzani wa Yanga, Ifahamu Al Hilal wapinzani wa Yanga CAF Champions League 2022/2023.

WAFAHAMU Al Hilal Wapinzani wa Yanga CAF Champions League 2022/2023

AL Hilal wapinzani wa Yanga CAF

KLABU ya Al Hilal (Kiarabu: نادي الهلال للتربية), inayojulikana kama Al Hilal Omdurman au kwa urahisi Al Hilal, ni klabu ya soka ya Sudan yenye makao yake Makuu Mjini Omdurman ambayo inashiriki Ligi Kuu ya Sudan.

Al Hilāl ni neno la Kiarabu linalomaanisha mpevu – Jina lililochaguliwa usiku ambapo mpevu wa mwezi ulionekana katika Omdurman.Pia ni klabu ya kwanza Duniani kupewa jina (AL- HILAL).

Hawa ndio Wafalme wa Soka la Sudan, Ndio klabu iliyobeba Mataji mengi zaidi nchini humo na ndio Wawakilishi bora zaidi wa CECAFA kwenye CAF.

Al Hilal imeshacheza Fainali za CAF mara 2 zote Ikipoteza, Ilikua 1987 dhidi ya Al Ahly SC ya Misri na 1992 dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco.

Al Hilal Imecheza Nusu Fainali ya Michuano ya CAF Champions League mara nyingi zaidi ya klabu yoyote ya CECAFA, ikifanya hivyo mara 5 na Robo Fainali nyingi, imecheza makundi mara mwisho msimu jana wa 2021/2022.

WAFAHAMU Al Hilal Wapinzani wa Yanga CAF Champions League 2022/2023

Al Hilal

Al Hilal ina kikosi kinachokaririwa kuwa na thamani ya Dola za Kimarekani $ Million 2.75 zaidi ya Tsh Bilioni 6.3.Yanga vs Al Hilal CAF Champions League 2022/23 ,Young Africans vs Al Hilal, Young Africans vs AL-Hilal, Yanga vs Al-Hilal CAF Champions League, Yanga vs Al Hilal CAF, Al Hilal vs Yanga, Al Hilal wapinzani wa Yanga, Ifahamu Al Hilal wapinzani wa Yanga CAF Champions League 2022/2023.

Baada ya misimu kadhaa kutofanya makubwa kimataifa, Hilal walimuomba Tycoon, Bilionea Turk El Sheikh wa Saudia Arabia kuwa raisi wa heshima wa klabu hiyo, huyu ndiye aliyeinunua Pyramid FC ya Misri kutoka Al Assiyout kitaka kuifanya klabu hatari zaidi Misri na Afrika na baadae akaiuza.

Mwamba huyu anayemiliki Klabu ya Almeria ya Hispania aliweka mzigo wa kutosha kwa kuongeza nyota wenye uwezo ili Hilal ifanye vizuri zaidi Afrika.

Aliingia Msimu uliopita ila msimu huu akaweka Pesa ambayo kmenunua nyota wengi kama Issa Fofana kutoka San Pedro ya Ivory Coast, Cloud Singone kutoka Asec Mimosas ya Ivory Coast pia Imoro Ibrahim kutoka Asante Kotoko ya Ghana, John Mano (aliyewafunga Simba mechi ya Kirafiki Kirafiki), Makabi Lilepo kutoka DR Congo na Lamine Diedhou kutoka Senegal.

Kutokana udhamini huo Al Hilal wakafanikiwa kumrejesha Mshambuliaji wao hatari (mtambo wao wa mabao) Waleed Bkhet aliyesajiliwa Kuwait akitoke Hilal na sasa amerejea tena.

Kama haitoshi wakamsajili Kocha mwenye taji la Shirikisho Afrika Msimu Jana Frolent Ibenge raia wa DRC na mpango wao wa sasa ni kufika nusu Fainali ya CAF Champions League.

WAFAHAMU Al Hilal Wapinzani wa Yanga CAF Champions League 2022/2023

Fiston Kalala Mayele Yanga SC

Young Africans Sports Club, ambayo wakati mwingine hujulikana kama Yanga, ni klabu ya soka ya Tanzania inayocheza michezo yake ya nyumbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam na Makazi yake yapo Mtaa wa Jangwani, Dar es Salaam.

Klabu hiyo ilianzishwa mwaka 1935, na Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio wanacheza michezo yao ya nyumbani. Jina la utani la klabu hiyo ni “Yanga,” na imeshinda mataji 28 ya Ligi Kuu na Mashindano kadhaa ya vikombe vya nyumbani.

Zaidi ya hayo, wameshiriki katika Mashindano mengi ya Ligi ya Mabingwa ya CAF na ni Mabingwa mara 5 wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki CECAFA.

Klabu hiyo ilikuja kuwakilisha harakati za kupinga ukoloni na maadili yake. Kundi la kisiasa la TANU lilihamasishwa kuchagua rangi ya manjano na kijani kibichi kama rangi zao kuu baada ya kuhusishwa na vijana wa Kiafrika ambao walishirikiana na wazalendo na wapigania uhuru.

Klabu hiyo sasa inapitia utaratibu utakaodumisha mfumo wa umiliki wa klabu kwa asilimia 49 kwa wawekezaji na asilimia 51 kwa wanachama wa klabu.

Klabu hiyo ina msuguano wa muda mrefu na wapinzani wake kutoka upande wa pili wa Jiji, Simba ambao wanachuana nao katika mchezo wa derby wa Dar es Salaam (wakati mwingine huitwa Kariakoo).

Shindano hilo lilishika nafasi ya tano kwenye Orodha ya Michezo maarufu zaidi ambayo hufanyika Barani Afrika.

Klabu ya Yanga SC ilianzishwa mwaka 1935, na Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio Uwanja wao wa nyumbani na michezo yao ya nyumbani wanatumia Uwanja huo unaobeba watu 60,000.

KWA TAARIFA ZAIDI SOMA HAPA

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya | Jisajili hapa Kushinda Zawadi

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya

BETI NA PARMATCH USHINDE MAMILIONI

Kampuni ya Michezo ya KUBETI na KASINO za Mtandaoni Tanzania PARMATCH imezindua Ofa mpya ya Bonasi kwa Wateja wapya.

Kila mteja mpya atakayejisajili na PARMATCH atajinyakulia BONASI sawa na kiasi alichoweka kwa mara ya kwanza kuanzia Shilingi 1,000 hadi milioni moja kwa kila mteja.

Akizungumza katika uzinduzi wa BONASI hiyo Afisa Masoko wa Parmatch amesema kuwa Bonasi hiyo itawahusu wateja wapya watakaojisajili na kuweka salio kwenye akaunti zao.

Ili uweze kujisajili na PARMATCH unatakiwa kutembelea tovuti yao kwa kugusa HAPA Kisha Jisajili.

Kujiunga na PARMATCH na kupata Bonasi ya hadi 1,000,000 (Milioni Moja) Ukideposit salio kwenye akaunti yako Bofya HAPA.

Unaweza kupata Taarifa hii kwa undani zaidi kwa kubofya Parmatch.co.tz

MATOKEO Simba SC vs Malindi SC September 25 2022 | Mechi ya Kirafiki

MATOKEO Simba SC vs Malindi SC September 25 2022 | Friendy Match,Matokeo Simba vs Malindi SC, Results Simba vs Malindi SC, Malindi SC ya Zanzibar vs Simba SC 25/09/2022.

MATOKEO Simba SC vs Malindi SC September 25 2022 | Mechi ya Kirafiki

MATOKEO SIMBA SC VS MALINDI SC

KLABU ya Simba SC inatajiwa kucheza mchezo wake wa kwanza wa Kirafiki Visiwani Zanzibar Leo Jumapili September 25 2022 dhidi ya Malindi SC ya Visiwani humo.

Simba imesafiri hasi Visiwani Zanzibar kufuatia mwaliko kutoka Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF) kwaajili ya kushiriki mechi za Kirafiki kipindi hiki Ligi ikiwa imesimama kupisha mechi za Kalenda ya FIFA.

Ikiwa Visiwani humo Simba inatajiwa kucheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Malindi SC Leo Jumapili ya September 25 na Kipanga FC Jumatano ya September 28,2022,Kikosi Cha Simba vs Malindi SC Leo September 25 2022, Kikosi Cha Simba vs Malindi SC Leo, Simba vs Malindi, Kikosi cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Malindi SC.

Mchezo huo wa kwanza dhidi ya Malindi SC utapigwa Leo Jumapili ya September 25,2022 saa 2:15 usiku na Nijuze Habari kupitia nijuzehabari.co.tz tutakuleta moja kwa moja Matokeo ya mchezo huo.

BOFYA MATOKEO au KIKOSI  kupata taarifa zaidi za mchezo huo, utapata kuona Kikosi kitakachoanza pamoja na Matokeo ya Simba SC dhidi ya Malindi SC Leo Jumapili September 25 2022.

Michezo hiyo ni Maandalizi ya mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Clube De Desportivo de Agosto ya nchini Angola utakaopigwa September 09, 2022.Malindi SC vs Simba SC Results, Kikosi kitakachoanza Cha Simba SC vs Malindi SC, KIKOSI Cha Simba leo, Kikosi cha Simba dhidi ya Malindi Leo, Lineups Simba vs Malindi SC, Simba Sports Club vs Malindi SC.

Simba Sports Club ni timu ya Soka ya Tanzania iliyoanzishwa mwaka 1936 baada ya kutengana na timu nyingine ya Tanzania ijulikanayo kwa jina la Yanga SC na ilipewa jina la Queens kwa heshima ya Mtukufu Malkia wa Uingereza.

Kariakoo mtaa wa Msimbazi iliyopo Jijini Dar es Salaam nchini Tanzania ndipo nyumbani kwa klabu ya Simba Sports Club ambayo jina lake maarufu ni Simba SC.

Baada ya kujulikana kama Queens, klabu hiyo kisha ikawa Eagles, na hatimaye ikapewa jina la Sunderland na walibadilisha jina lao na kuwa Simba mwaka 1971.

Simba SC imeshinda mataji 21 ya Ligi na Vikombe vitano vya nyumbani, na imeshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika mara nyingi.

Pia ni moja ya vilabu vikubwa Afrika Mashariki, wakiwa wametwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara sita.Simba Sports Club vs Malindi SC Zanzibar, Matokeo ya Simba leo, Matokeo Simba SC vs Malindi Leo.

Simba wakicheza mechi zao za nyumbani hutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Jijini Dar es Salaam.

Klabu hiyo ni mojawapo ya Klabu tajiri zaidi Afrika Mashariki, ikiwa na jumla ya bajeti ya Sh 6.1 Bilioni (sawa na $5.3 milioni) iliyozinduliwa kwa msimu wa 2019/2020.

Malindi Sport Club ni klabu ya soka ya Zanzibar yenye maskani yake Mjini Unguja.Ilianzishwa 1942 ni Klabu iliyopambwa zaidi Zanzibar.

Kwa miaka mingi walitawala Tanzania, kama Mabingwa wa Mashindano ya Zanzibar na Tanzania ya kikanda kuanzia mwaka 1989 hadi 1992.Matokeo Simba vs Malindi mechi Kirafiki, Simbs SC vs Malindi SC Results Today.

Baada ya kutwaa mataji mengi ya Kitaifa na kikanda, timu hiyo ilianza kucheza Ligi Kuu ya Zanzibar mwaka 2004, baada ya Zanzibar kuwa mwanachama huru wa CAF, hivyo wanaiwakilisha Zanzibar katika michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika.

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya | Jisajili hapa Kushinda Zawadi

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya

BETI NA PARMATCH USHINDE MAMILIONI

Kampuni ya Michezo ya KUBETI na KASINO za Mtandaoni Tanzania PARMATCH imezindua Ofa mpya ya Bonasi kwa Wateja wapya.

Kila mteja mpya atakayejisajili na PARMATCH atajinyakulia BONASI sawa na kiasi alichoweka kwa mara ya kwanza kuanzia Shilingi 1,000 hadi milioni moja kwa kila mteja.

Akizungumza katika uzinduzi wa BONASI hiyo Afisa Masoko wa Parmatch amesema kuwa Bonasi hiyo itawahusu wateja wapya watakaojisajili na kuweka salio kwenye akaunti zao.

Ili uweze kujisajili na PARMATCH unatakiwa kutembelea tovuti yao kwa kugusa HAPA Kisha Jisajili.

Kujiunga na PARMATCH na kupata Bonasi ya hadi 1,000,000 (Milioni Moja) Ukideposit salio kwenye akaunti yako Bofya HAPA.

Unaweza kupata Taarifa hii kwa undani zaidi kwa kubofya Parmatch.co.tz

FAHAMU Jinsi ya Kubeti kwenye Simu na Parmatch | Kwanini Ubeti na Parmatch!

FAHAMU Jinsi ya Kubeti kwenye Simu na Parmatch | Kwanini Ubeti na Parmatch?

Jinsi ya Kubeti kwenye Simu na Parmatch

Takwimu zinasema kwamba kubeti kwa simu ya mkononi ndio mtindo mkubwa leo kwa sababu uhusisha sehemu kubwa ya soko la kubeti kiujumla. Zaidi ya hilo, kunatarajiwa kukua katika miaka kumi ijayo.

Kama wewe ni mpya kwenye kubeti, ukijaribu kuweka mikeka ya kwanza au wewe ni mtaalamu mwenye uzoefu unayetafuta machaguo mazuri zaidi ya kubeti kwa simu ya mkononi, Parimatch ndio haswa kile unachokitafuta! Ni jukwaa la kubeti linaloaminika na lililothibitika kufanya kazi Tanzania ambalo hutoa huduma nzuri zaidi za sehemu ya kubetia.

Kubeti Michezo kwa Simu ya Mkononi ni Nini?

Kitu chenyewe ni kwamba umiliki wa simu janja unaongezeka kwa kasi ulimwenguni kote. Wamiliki wa tovuti za kubeti kwa simu za mkononi wanatambua mtindo huu na wanaitikia ipasavyo ili wasipoteze wateja wao.

Siku hizi, sehemu zote za kubetia zinazofahamika vizuri na zenye sifa nzuri — ikihusisha Parimatch — zina matoleo ya simu za mkononi. Baadhi ya majukwaa ya kubeti yamelenga kwenye kuunda app za kubeti mtandaoni kwa simu ya mkononi yakifukuzia lengo la kufanya kubeti kuwe rahisi zaidi.

Wengine wanaunda toleo la simu ya mkononi la tovuti yao na kulifanya kuwa bora kabisa. Parimatch hufanya kazi katika pande zote mbili.

Kutokana na uzoefu wetu, tunajua kwamba kubeti kwa simu ya mkononi ni suluhisho la haraka sana na rahisi sana kwa wale wanaopendelea kubeti muda wowote na mahali popote.

FAHAMU Jinsi ya Kubeti kwenye Simu na Parmatch | Kwanini Ubeti na Parmatch?

FAHAMU Jinsi ya Kubeti kwenye Simu na Parmatch | Kwanini Ubeti na Parmatch?

Kubeti kwa Simu ya Mkononi Kunatofautiana Vipi na Kubeti kwenye Kompyuta?

Kubeti kwa simu ya mkononi humaanisha kutumia simu yako janja kuweka mikeka. Kwa ujumla, hakuna tofauti kubwa kati ya kubeti kwa simu ya mkononi na kubeti kwa kompyuta.

Unatumia huduma za jukwaa hilo hilo lakini kutoka kwenye vifaa tofauti. Nafasi, marupurupu, na bonasi ni sawa kwa watumiaji wote. Unahitaji tu kupakua app ya simu ya mkononi kutoka App Store au Google Play Market. Hata hivyo, kunaweza kuwa na tofauti baadhi zinazohusiana na mchakato wa kubeti. Kiolesura cha mtumiaji pia ni tofauti.

Faida za Juu za Kubeti kwa Simu ya Mkononi

Asante kwa teknolojia inayoendelea kubadilika, unaweza kuweka mikeka yako muda wowote na mahali popote kabisa. Unahitaji tu kuwa na chombo cha mkononi chenye mwunganisho wa intaneti.

Acha tupitie faida kuu za kubeti kwa simu ya mkononi.

1.Huokoa muda wako

Sote tuna vyombo vya mikononi vilivyowashwa muda wote. Unaweza kupakua app na kuweka mikeka yako ukiwa mahali popote duniani. Hakuna uhitaji wa kusubiri mpaka uwe mbele ya kompyuta yako.

2.Una machaguo zaidi

App za simu za mkononi zinaweza kuwa na machaguo zaidi kwaajili ya watumiaji wake. Mameneja ubashiri wa simu za mkononi hujitahidi kuwapa watumiaji wao matukio mbalimbali ya kimichezo. Zaidi ya hayo, app za simu za mkononi kwa kawaida zina machaguo zaidi ya kuchagua.

3.Utahabarishwa kila wakati

App za simu za mkononi zinaweza kukuarifu kuhusu matangazo mazuri zaidi au matukio yanayokuja. Zaidi ya hilo, daima utahabarishwa kuhusu nini kinatokea katika dunia ya kubeti. Takwimu za muda huo huo zinapatikana 24/7. Zaidi ya hayo, ni rahisi zaidi kufuatilia hasara na faida zako.

4.Malipo ni rahisi

Hauhitaji kutumia kompyuta yako mpakato kutoa pesa. Ukiwa na app ya kubetia, kwa urahisi utatoa pesa wakati wowote; mibofyo michache tu inahitajika.

5.Unaweza kutumia app yako wakati wowote

Mchana au usiku, unaweza kuweka mikeka 24/7 kutoka kwenye app yako ya simu ya mkononi.

Mafadhaiko Makubwa Zaidi na Kubeti kwa Simu ya Mkononi

Haya hapa ni masuala machache ambayo yanaweza kukukatisha tamaa wakati unatumia app za kubeti kwa simu ya mkononi:

1.Unahitaji kubadili badili kati ya kurasa

Hata hivyo, mengi hutegemea kwenye app ya kubeti mtandaoni au aina ya mikeka ambayo unatumia. Wakati mwingine, unahitaji kuhama kati ya kurasa kwaajili ya kuangalia mikeka ya timu moja kushinda, utofauti, au jumla.

Ni dhahiri kwamba unataka kuwa na taarifa zote zipatikane kwenye skrini. Lakini kubeti kwa simu ya mkononi hakuwezi kukidhi hitaji hili; unahitaji kubadili badili kati ya kurasa kufuatilia mabadiliko.

Kwenye Parimatch, daima tunafanya kazi kuufanya uzoefu wako wa utumiaji kuwa mzuri zaidi. Hivyo tunajali kwamba daima uwe na taarifa unazohitaji.

2.Unaweza kukumbana na changamoto za kuingia

Unapoweka mikeka kwenye chombo chako cha mkononi, unaruhusiwa kuweka mikeka kwenye michezo ambayo inaendelea. Kwa hiyo, unataka kufuatilia matokeo na kufanya kila kitu kusasisha mchezo. Lakini wakati mwingine unaweza kutolewa nje kipindi ambacho hakikutarajiwa kabisa.

Wakati ni kitu ambacho hutokea kwenye app nyingi, kwenye Parimatch tunajitahidi kuhakikisha app yetu inafanya kazi vizuri muda wote.

Unaweka Vipi Mikeka na App ya Kubeti ya Parimatch

Kubeti kwenye Parimatch ni rahisi na wazi. Zaidi ya hilo, kuna sababu nyingi kwanini unahitaji kutumia jukwaa hili (hasa kama app kwa ajili ya kubetia mpira wa miguu): mkusanyiko mpana wa mechi za soka, kubeti mubashara, vipengele rahisi vya kuweka pesa kwa simu ya mkononi, na msaada kwa wateja rafiki.

Kama mwishowe unataka kujaribu mbinu yako ya kubeti na Parimatch, inakubidi upakue Parimatch APK mara moja! Utaratibu huu huchukua sekunde chache tu.

Huu hapa ni mwongozo wa kina juu ya jinsi ya kupakua app ya Parimatch na mwishowe kufurahia kubeti kwa simu ya mkononi:

 • Kwenye simu yako ya mkononi, nenda kwenye tovuti yetu parimatch.co.tz na bonyeza kitufe cha kati.

Parimatch menu button on mobile website

 • Menyu ya Parimatch itafunguka. Unahitaji kuchagua “Apps Android/iOS”.

Parimatch app in a menu 

 • App (Parimatch APK) itapakuliwa na kusanikishwa papo hapo.
 • Kama mchakato huu hauanzi, nenda kwenye mipangilio ya usalama kwenye simu yako na wezesha upakuaji app kutoka kwenye vyanzo visivyojulikana.
 • Tafuta app ya Parimatch ya Tanzania kwenye skrini ya simu yako na ibonyeze.
 • App itakuomba kupitia utaratibu rahisi wa usajili. Huwezi kuweka mikeka mpaka utie sahihi. Huchukua sekunde chache; unahitaji tu kuthibitisha namba yako ya simu (au barua pepe) na kuweka nenosiri.

Parimatch app login screen

 • Weka pesa kiasi kuanza kubeti
 • Nenda kwenye Michezo au Mubashara na pitia kuangalia michezo na mechi zinazopatikana.
 • Chagua mchezo na nini cha kubetia. Bofya kwenye mechi maalum kwaajili ya machaguo yote yanayopatikana.

Betting on football match with Parimatch app

 • Weka mikeka yako.
 • Ingiza dau lako na thibitisha mikeka yako!

Kama unataka kufuatilia mikeka yako inatakiwa uende kwenye sehemu ya “Mikeka Yangu”. Katika sehemu hii, unaweza pia kuchagua kubebenisha mikeka au mikeka ya mfumo.

The post RATIBA ya Michezo ya Leo Jumanne September 27 2022 appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz