MATOKEO Yanga SC vs Eagle Air Force September 25 2022 - EDUSPORTSTZ

Latest

MATOKEO Yanga SC vs Eagle Air Force September 25 2022

MATOKEO Yanga SC vs Eagle Air Force September 25 2022

MATOKEO Yanga SC vs Eagle Air Force September 25 2022

Matokeo Yanga SC vs Eagle Air Force, Matokeo ya Yanga vs Eagle Air Force, Eagle Air Force vs Yanga, Matokeo Eagle Air Force, Matokeo ya Yanga, Mchezo wa Kirafiki Yanga vs Eagle Air Force.

MATOKEO Yanga SC vs Eagle Air Force September 25 2022

Matokeo Yanga vs Eagle Air Force

KLABU ya Yanga jana asubuhi September 25 ilifanikiwa kuibuka na Ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Eagle Air Force ya Ubungo katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Avic Town, Kigamboni Jijini Dar es Salaam.

Mabao ya Yanga yalifungwa na Joyce Lomalisa, Fiston Mayele akifunga mawili huku jingine likifungwa na beki Ibrahim Abdallah “Bacca”.

Bao pekee la Eagle Air Force inayoshiki Daraja la Nne inayomilikiwa na Jeshi la Wananchi (JWTZ), ikifundishwa na kocha Joseph Kanakamfumu, lilifungwa na Kennedy Bago.

MATOKEO Yanga SC vs Eagle Air Force September 25 2022

MATOKEO Yanga SC vs Eagle Air Force

Young Africans Sports Club, ambayo wakati mwingine hujulikana kama Yanga, ni klabu ya soka ya Tanzania inayocheza michezo yake ya nyumbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam na Makazi yake yapo Mtaa wa Jangwani, Dar es Salaam.

Klabu hiyo ilianzishwa mwaka 1935, na Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio wanacheza michezo yao ya nyumbani. Jina la utani la klabu hiyo ni “Yanga,” na imeshinda mataji 28 ya Ligi Kuu na Mashindano kadhaa ya vikombe vya nyumbani.

Zaidi ya hayo, wameshiriki katika Mashindano mengi ya Ligi ya Mabingwa ya CAF na ni Mabingwa mara 5 wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki CECAFA.

Klabu hiyo ilikuja kuwakilisha harakati za kupinga ukoloni na maadili yake. Kundi la kisiasa la TANU lilihamasishwa kuchagua rangi ya manjano na kijani kibichi kama rangi zao kuu baada ya kuhusishwa na vijana wa Kiafrika ambao walishirikiana na wazalendo na wapigania uhuru.

Klabu hiyo sasa inapitia utaratibu utakaodumisha mfumo wa umiliki wa klabu kwa asilimia 49 kwa wawekezaji na asilimia 51 kwa wanachama wa klabu.

Klabu hiyo ina msuguano wa muda mrefu na wapinzani wake kutoka upande wa pili wa Jiji, Simba ambao wanachuana nao katika mchezo wa derby wa Dar es Salaam (wakati mwingine huitwa Kariakoo).

Shindano hilo lilishika nafasi ya tano kwenye Orodha ya Michezo maarufu zaidi ambayo hufanyika Barani Afrika.

Klabu ya Yanga SC ilianzishwa mwaka 1935, na Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio Uwanja wao wa nyumbani na michezo yao ya nyumbani wanatumia Uwanja huo unaobeba watu 60,000.

KWA TAARIFA ZAIDI SOMA HAPA

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya | Jisajili hapa Kushinda Zawadi

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya

BETI NA PARMATCH USHINDE MAMILIONI

Kampuni ya Michezo ya KUBETI na KASINO za Mtandaoni Tanzania PARMATCH imezindua Ofa mpya ya Bonasi kwa Wateja wapya.

Kila mteja mpya atakayejisajili na PARMATCH atajinyakulia BONASI sawa na kiasi alichoweka kwa mara ya kwanza kuanzia Shilingi 1,000 hadi milioni moja kwa kila mteja.

Akizungumza katika uzinduzi wa BONASI hiyo Afisa Masoko wa Parmatch amesema kuwa Bonasi hiyo itawahusu wateja wapya watakaojisajili na kuweka salio kwenye akaunti zao.

Ili uweze kujisajili na PARMATCH unatakiwa kutembelea tovuti yao kwa kugusa HAPA Kisha Jisajili.

Kujiunga na PARMATCH na kupata Bonasi ya hadi 1,000,000 (Milioni Moja) Ukideposit salio kwenye akaunti yako Bofya HAPA.

Unaweza kupata Taarifa hii kwa undani zaidi kwa kubofya Parmatch.co.tz

The post MATOKEO Yanga SC vs Eagle Air Force September 25 2022 appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz