MATOKEO Tanzania vs Uganda September 24 2022 | Mechi ya Kirafiki
Matokeo Tanzania Stars vs Uganda Leo Jumamosi September 24 2022, Matokeo Uganda vs Tanzania Mechi ya Kirafiki September 24 2022, Matokeo Uganda vs Taifa Stars September 24 2022, Matokeo Uganda the cranes vs Taifa Stars September 24 2022, Matokeo Taifa Stars vs Uganda leo,Matokeo Taifa Stars September 24 2022, Matokeo Taifa Stars vs Uganda, Uganda vs Taifa Stars, Uganda vs Tanzania Matokeo
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ikiwa nchini Libya leo Jumamosi majira ya saa 2:00 Usiku itacheza mchezo wa Kirafiki ambao upo kwenye kalenda ya FIFA dhidi ya Uganda.
Tanzania na Uganda zimealikwa na Libya katika michezo hiyo maalum ambapo Mataifa Mengine pia yamefanya hivo katika kuimarisha timu zao za Taifa.
Tanzania itacheza mchezo mwingine wa Kirafiki dhidi ya Libya Jumanne ya September 27,2022.
Aidha mchezo huo hautooneshwa na Azam TV na nijuze habari kupitia nijuzehabari.co.tz tutakuleta Matokeo ya mchezo huo.
BOFYA HAPA kupata taarifa za mchezo huo pamoja Kikosi kitakachoanza dhidi ya Uganda leo Jumamosi September 24 2022.
The post MATOKEO Tanzania vs Uganda September 24 2022 | Mechi ya Kirafiki appeared first on Nijuze Mpya -| Pata Habari zote za Michezo kitaifa na Kimataifa, Tetesi na Usajili, Magazeti ya Michezo, Ratiba na Matokeo, Mahusiano Pamoja na Nafasi za Kazi.
No comments:
Post a Comment