MABADILIKO ya ratiba NBC Premier League 2022/2023 - EDUSPORTSTZ

Latest

MABADILIKO ya ratiba NBC Premier League 2022/2023

MABADILIKO ya ratiba NBC Premier League 2022/2023

MABADILIKO ya ratiba NBC Premier League 2022/2023

Mabadiliko ya Ligi Kuu ya NBC 2022/2023, Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023, NBCPL2022-2023,Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023,NBC Premier League 2022/2023,NBC 2022/2023, mabadiliko ya Ligi Kuu 2022/2023, mabadiliko Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023.

MABADILIKO ya ratiba NBC Premier League 2022/2023

MABADILIKO ya ratiba NBC Premier League 2022/2023

HIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), ambalo awali lilikuwa Chama cha Soka Tanzania (FAT), ndicho chombo kinachosimamia soka nchini Tanzania na husimamia timu za Taifa za soka za Tanzania.

Shirikisho hilo Ilianzishwa mnamo 1930 na inahusishwa na FIFA tangu 1964. Shirikisho hilo lilianzishwa kama Chama cha Soka Tanganyika (TFA). Baadaye kilibadilishwa jina na kuitwa Chama cha Soka Tanzania (FAT) mwaka 1971 baada ya marekebisho makubwa ya Katiba yake.

FAT ilikuwepo hadi mwaka 2004 jina jipya la TFF lilipoanza kutumika baada ya Mkutano Mkuu wa chombo hicho uliofanyika tarehe 27 December mwaka huo huo.Mabadiliko NBC Tanzania Premier League, mabadiliko NBC Tanzania Premier League 2022/2023, mabadiliko NBC Premier League.

Katiba ya sasa ya TFF ilianza kutumika tarehe 15 January 2006 kufuatia Mkutano Mkuu uliofanyika Dar es Salaam tarehe 14 na 15 January 2006.

Kwa sasa, Wallace Karia ndiye Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), akirithi nafasi ya Jamal Malinzi August 2017.mabadiliko Ligi kuu Tanzania, mabadiliko Ya Ligi Kuu Tanzania,NBC Premier League 2022/23,mabadiliko NBC Tanzania Premier League 2022/2023.

TFF inazidi kujengewa uwezo chini ya uongozi wake kwa kuwa anaamini ndiyo vichochezi vya ajenda za maendeleo.

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya Maboresho ya ratiba katika michezo sita (6) ya Ligi Kuu Tanzania Bara {NBC Premier League 2022/2023} kama ifuatavyo:

👉Mchezo nambari 35 Kati ya KMC FC dhidi ya Mtibwa Sugar FC uliopangwa kuchezwa September 27, 2022 saa 10:00 alasiri katika Uwanja wa Uhuru uliopo Jijini Dar es Salaam, sasa utachezwa October 15, 2022 saa 10:00 alasiri katika Uwanja huo huo wa Uhuru uliopo Jijini Dar es Salaam.

👉Mchezo nambari 33 Kati ya Ruvu Shooting FC dhidi ya Coastal Union FC
uliopangwa kuchezwa September 26, 2022 saa 10:00 alasiri katika Uwanja wa Uhuru uliopo Jijini Dar es Salaam, sasa utachezwa September 29, 2022 saa 10:00 alasiri katika uwanja huo huo wa Uhuru uliopo Jijini Dar es Salaam.

👉Mchezo nambari 34 Kati ya Polisi Tanzania FC dhidi ya Namungo FC uliopangwa kuchezwa September 27, 2022 saa 8:00 mchana katika uwanja wa Ushirika uliopo Mkoani Kilimanjaro, sasa utachezwa October 19, 2022 saa 10:00 alasiri katika Uwanja wa Sheikh Amri Abed uliopo Jijini Arusha.

👉Mchezo nambari 38 Kati ya Ihefu SC dhidi ya Young Africans SC uliopangwa
kuchezwa September 29, 2022 saa 10:00 alasiri katika Uwanja wa Highland Estate uliopo Jijini Mbeya, sasa utachezwa Novemba 29, 2022 saa 10:00 alasiri katika uwanja wa Highland Estate uliopo Jijini Mbeya.

👉Mchezo nambari 36 Kati ya Kagera Sugar FC dhidi ya Singida Big Stars FC uliopangwa kuchezwa September 28, 2022 saa 8:00 mchana katika Uwanja wa CCM Kirumba uliopo Jijini Mwanza, sasa utachezwa October 21, 2022 saa 10:00 alasiri katika Uwanja wa Kaitaba uliopo Mkoani Kagera.

👉Mchezo nambari 37 Kati ya Mbeya City FC dhidi ya Simba SC uliopangwa
kuchezwa September 28, 2022 saa 10:00 alasiri katika Uwanja wa Sokoine uliopo Mbeya, sasa utachezwa November 23, 2022 saa 10:00 alasiri katika uwanja huo huo wa Sokoine uliopo Jijini Mbeya.

Young Africans Sports Club, inayojulikana kama Yanga, ni timu ya soka ya Tanzania yenye maskani yake mtaa wa Jangwani Jijini Dar es Salaam.mabadiliko NBC Premier League, mabadiliko NBC Tanzania Premier League 2022/2023.

Klabu hiyo imekuwepo tangu 1935, na michezo yao ya nyumbani inafanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.NBC Tanzania Premier League 2022/2023.

Klabu hiyo imeshinda Jumla ya mataji 28 ya Ligi Kuu Tanzania Bara na idadi ya Vikombe vya nyumbani, na imecheza katika Mashindano mengi ya CAF Champions League.

Wametwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara tano, Klabu hiyo ikawa ishara ya harakati dhidi ya ukolon.

Vijana wa Kiafrika walianza kujitambulisha na wazalendo na wapigania Uhuru, Jambo ambalo lilipelekea chama cha siasa cha TANU kuchagua rangi ya njano na kijani kama rangi zao kuu.

Klabu hiyo ina upinzani wa muda mrefu na Simba SC, timu kutoka upande wa pili wa Jiji mtaa wa Msimbazi na inacheza kwenye Derby ya Dar es Salaam (au jina maarufu Kariakoo Derby).

KLABU ya Simba SC iliyoanzishwa mwaka 1936, ilijitenga kutoka Young Africans na kuitwa Queens, kwa heshima ya Majeshi ya Malkia wa Uingereza.

Klabu hiyo ilikuwa na mabadiliko kadhaa ya majina kutoka Queens hadi Eagles, kisha, Sunderland, Mwaka 1971 ikaitwa Simba jina ambalo mpaka sasa inalitumia.

Simba SC imeshinda mataji 21 ya Ligi na Vikombe vitano vya nyumbani, na imeshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika mara nyingi.

Pia ni moja ya vilabu vikubwa Afrika Mashariki, wakiwa wametwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara sita.

Simba wakicheza mechi zao za nyumbani hutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Jijini Dar es Salaam..

Klabu hiyo ni mojawapo ya matajiri zaidi Afrika Mashariki, ikiwa na jumla ya bajeti ya Sh 6.1 Bilioni (sawa na $5.3 milioni) iliyozinduliwa kwa msimu wa 2019/2020.

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya | Jisajili hapa Kushinda Zawadi

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya

BETI NA PARMATCH USHINDE MAMILIONI

Kampuni ya Michezo ya KUBETI na KASINO za Mtandaoni Tanzania PARMATCH imezindua Ofa mpya ya Bonasi kwa Wateja wapya.

Kila mteja mpya atakayejisajili na PARMATCH atajinyakulia BONASI sawa na kiasi alichoweka kwa mara ya kwanza kuanzia Shilingi 1,000 hadi milioni moja kwa kila mteja.

Akizungumza katika uzinduzi wa BONASI hiyo Afisa Masoko wa Parmatch amesema kuwa Bonasi hiyo itawahusu wateja wapya watakaojisajili na kuweka salio kwenye akaunti zao.

Ili uweze kujisajili na PARMATCH unatakiwa kutembelea tovuti yao kwa kugusa HAPA Kisha Jisajili.

Kujiunga na PARMATCH na kupata Bonasi ya hadi 1,000,000 (Milioni Moja) Ukideposit salio kwenye akaunti yako Bofya HAPA.

Unaweza kupata Taarifa hii kwa undani zaidi kwa kubofya Parmatch.co.tz

The post MABADILIKO ya ratiba NBC Premier League 2022/2023 appeared first on Nijuze Mpya -| Pata Habari zote za Michezo kitaifa na Kimataifa, Tetesi na Usajili, Magazeti ya Michezo, Ratiba na Matokeo, Mahusiano Pamoja na Nafasi za Kazi.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz