LIST ya makocha wa Tanzania Wenye CAF A Diploma - EDUSPORTSTZ

Latest

LIST ya makocha wa Tanzania Wenye CAF A Diploma

LIST ya makocha wa Tanzania Wenye CAF A Diploma

LIST ya makocha wa Tanzania Wenye CAF A DiplomaLIST ya makocha wa Tanzania Wenye CAF A Diploma

 

 

 

 

 

Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ya Makocha wenye CAF A Diploma na zinazofanana (Equivalent) na CAF A.

Shirikisho hilo limesema kuwa limekuwa likifanya kozi mbalimbali kwaajili ya kuzalisha Makocha Katika ngazi tofauti ikiwemo zile za Juu.

Na wafuatao ni Makocha 21 wanaotambulika kuwa na CAF A Diploma baada ya kupitia katika kozi hizo.

1:Dismas Haonga
2:Dennis Kitambi
3:Fikiri Mahiza
4:Kidao Wilfred
5:Mecky Maxime
6:Juma Mgunda
7:Oscar Mirambo
8:Bakary Shime
9:Salvatory Edward
10:Ngawina Ngawina
11:Luhaga Makunja
12:James Wambura
13:Mohamed Laizer
14:Mohamed Muya
15:Ali Mohamed Ame
16:Maalim Swarehe
17:Edna Lema
18:Mbwana Makata
19:Shida Mayunga
20:Khalid Adam
21:Mussa Rashid

Hawa ni Makocha 21 ambao wana Leseni zinazofanana na CAF A (Equivalent)

1:Leodger Tenga
2:DR Mshindo Msolla
3:Rogasian Kaijage
4:Ally Mtumwa
5:Madaraka Bendera
6:Mohamed Adrof
7:Jamhuri Kihwelo
8:Fred Yesaya

10: Michael Bindala
11:Juma Nsanya Nsanya
12: Sylvester Marsh
13:Juma Mwambusi
14:Samsoni Mkisi
15:Rtd Major Abdul Mingange
16:Nasra Mohamed
17:Hamim Mawazo
18:Salum Mayanga
19:Charles Mkwasa
20:Hemed Morogoro
21: Abdallah Hussein

The post LIST ya makocha wa Tanzania Wenye CAF A Diploma appeared first on Nijuze Mpya -| Pata Habari zote za Michezo kitaifa na Kimataifa, Tetesi na Usajili, Magazeti ya Michezo, Ratiba na Matokeo, Mahusiano Pamoja na Nafasi za Kazi.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz