KIKOSI Cha Tanzania kwaajili ya Michezo miwili ya Kirafiki vs Libya - EDUSPORTSTZ

Latest

KIKOSI Cha Tanzania kwaajili ya Michezo miwili ya Kirafiki vs Libya

KIKOSI Cha Tanzania kwaajili ya Michezo miwili ya Kirafiki vs Libya

KIKOSI Cha Tanzania kwaajili ya Michezo miwili ya Kirafiki vs Libya

Tanzania vs Libya, Mechi ya Kirafiki Tanzania vs Libya, Mechi za Kirafiki za FIFA Tanzania vs Libya, Taifa Stars vs Libya Mechi za Kirafiki za FIFA, Taifa Stars vs Libya Mechi ya Kirafiki, Taifa Stars, Tanzania vs Libya.

KIKOSI Cha Tanzania kwaajili ya Michezo miwili ya Kirafiki vs Libya

Tanzania vs Libya

Timu ya Tanzania ni timu ya taifa ya soka ya Tanzania au timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania, inaiwakilisha Tanzania katika soka la Kimataifa la Wanaume na inasimamiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, shirikisho la soka nchini Tanzania TFF.

Uwanja wa nyumbani wa timu ya taifa ya Tanzania ni Benjamin Mkapa, Uwanja wa Taifa uliopo Jijini Dar- es Salaam na kocha Mkuu wa Taifa Stars ni Honour Janza akichukua nafasi ya Kim Poulsen kutoka Denmark.

Timu ya Taifa ya Tanzania inajulikana kwa jina la Taifa Stars, Tanzania haijawahi kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA.KIKOSI Cha Tanzania kwaajili ya Michezo miwili ya Kirafiki vs Libya

Kabla ya kuungana na Zanzibar, timu hiyo ilicheza kama timu ya taifa ya soka ya Tanganyika, Timu hiyo inawakilisha FIFA na Shirikisho la Soka Afrika (CAF).

MAJINA 23 ya Wachezaji walioitwa na Kocha Honour Janza kuunda Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Kwaajili ya Michezo miwili ya Kirafiki iliyopo kwenye Kalenda ya FIFA dhidi ya Libya.

MAKIPA
1:Aishi Manula (Simba SC)
2:Beno Kakolanya (Simba SC)
3:Said Kipao (Kagera Sugar FC)

MABEKI
4:Kibwana Shomari (Young Africans SC)
5:Datius Peter (Kagera Sugar FC)
6:David Luhende (Kagera Sugar FC)
7:Abdulmalick Adam (Namungo FC)
8:Abdi Banda (Chippa United – South Africa)
9:Carlos Protas (Tasker – Kenya)
10:Oscar Masai (Geita Gold FC)
11:Dickson Job (Young Africans SC)

VIUNGO
12: Abdallah Mfuko (Kagera Sugar FC)
13:Himid Mao (Ghazl El Mahalla – Egypt)
14:Sospeter Bajana (Azam FC)
15:Mzamiru Yassin (Simba SC)
16:Feisal Salum (Young Africans SC)
17:Mohamed Issa (Namungo FC)
18:David Uromi (Moroka Swallows – South Africa)

WASHAMBULIAJI
19:Mbwana Samatta (KRC Genk – Belgium)
20:Simon Msuva (Al-Qadsiah FC – Saudi Arabia)
21:Ibrahim Joshua (Tasker – Kenya)
22:Habibu Kyombo (Simba SC)
23:Said Khamis (Hatta Club – UAE)

Nahodha wa Taifa Stars ni Mbwana Ally Samatta na Nahodha Msaidizi ni Erasto Edward Nyoni, Mfungaji Bora wa Tanzania ni Mrisho Khalfan Ngasa mwenye mabao 25.

Kisiwa cha Zanzibar, ambacho ni sehemu ya Tanzania (na ambacho kiliwahi kuwa taifa huru), pia ni mwanachama Mshiriki wa CAF na timu yake ya Taifa inacheza Michezo na Mataifa Mengine.

Timu ya taifa ya soka ya Zanzibar inaiwakilisha Zanzibar katika soka la kimataifa na inasimamiwa na Shirikisho la Soka Zanzibar Zanzibar Football Association (ZFA)

Tanzania vs Libya, Mechi ya Kirafiki Tanzania vs Libya, Mechi za Kirafiki za FIFA Tanzania vs Libya, Taifa Stars vs Libya Mechi za Kirafiki za FIFA, Taifa Stars vs Libya Mechi ya Kirafiki, Taifa Stars, Tanzania vs Libya.

The post KIKOSI Cha Tanzania kwaajili ya Michezo miwili ya Kirafiki vs Libya appeared first on Nijuze Mpya -| Pata Habari zote za Michezo kitaifa na Kimataifa, Tetesi na Usajili, Magazeti ya Michezo, Ratiba na Matokeo, Mahusiano Pamoja na Nafasi za Kazi.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz