TANZIA: Msanii Erick Afariki Dunia
Msanii maarufu wa vichekesho, Zabogan Zabron maarufu kama Erick ‘Hivyo hivyo’ amefariki dunia.
Taarifa zilizothibitishwa na msanii mwenzake wa vichekesho, Tiny White, zinaeleza kuwa msanii huyo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Tiny White amesema kuwa asubuhi ya leo alipigiwa simu na ndugu wa karibu wa Erick na kumpa taarifa za kifo chake.
Ameeleza kuwa Erick alikuwa mgonjwa ambapo hapo jana aliwasiliana naye na kumueleza kuwa alikuwa amevimba mwili mzima.
Erick amefariki dunia akiwa nyumbani kwao, Kibaha mkoani Pwani.
PAKUA/Download App ya Nijuze Habari Kutazama LIVE/Mubashara (Simba SC vs Geita Gold FC)
Download/Pakua Bure hapa chini Kutazama kiganjani mwako Kuanzia saa 12:15 Jioni.
The post TANZIA: Msanii Erick Afariki Dunia appeared first on Nijuze Mpya -| Pata Habari zote za Michezo kitaifa na Kimataifa, Tetesi na Usajili, Magazeti ya Michezo, Ratiba na Matokeo, Mahusiano Pamoja na Nafasi za Kazi.
No comments:
Post a Comment