Mhamasishaji wa klabu ya Yanga Haji Manara amekana kumtukana Rais wa TFF Wallace Karia - EDUSPORTSTZ

Latest

Mhamasishaji wa klabu ya Yanga Haji Manara amekana kumtukana Rais wa TFF Wallace Karia


Mhamasishaji wa klabu ya Yanga Haji Manara amekana kumtukana Rais wa TFF Wallace Karia hapo jana katika mechi ya fainali ya FA kati ya Yanga na Coastal Unioni kama ambavyo taarifa zinadai zikiambatanishwa na ushahidi wa video hiyo hapo juu.

Amesema watu wanaotoa taarifa hiyo ni wale wenye chuki naye binafsi (Jemedari Said) na safari hii hawaachi atawachukulia hatua za kisheria kwa kutaka kumchafua na kumgombanisha na mamlaka za soka.

Video hiyo inaonesha kweli kulikuwa na kutupiana maneno na haji Manara hajaweka wazi ni kitu gani kilikuwa kinaendelea hapo.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz