Peter Nwachukwu ambaye ni Mume wa Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Osinachi Nwachukwu (aliyefariki mwezi Aprili) amekana mashtaka yote yanayohusiana na kifo chake na madai ya unyanyasaji katika ndoa yao
Peter anakabiliwa na jumla ya mashtaka 23, baadhi yakihusiana na Unyanyasaji wa Nyumbani (unyanyasaji wa kihisia na kisaikolojia) na kuua bila kukusudia
Baadhi ya nyimbo alizoshiriki Osinachi ni kama Nara Ekele akiwa na Mchungaji Paul Enenche na Ekwueme akiwa na Prospa Ochimana
No comments:
Post a Comment