Mwili wa Padre wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mbeya Waokotwa Jijini Mbeya-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwili wa Padre wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mbeya Waokotwa Jijini Mbeya-Michezoni leo

MWILI wa padre wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mbeya wa Shiriki wa Wasionari wa Afrika (White Father), Michael Samson umeokotwa jijini Mbeya.

 

Mwili huo umeokota katika mto Meta meaneo ya Sabasaba jijini humo Jumamosi Juni 11, 2022.

 

Taarifa iliyotolewa na Askofu Mkuu wa jimbo hilo na Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Gervas Nyaisonga imeleza Padre Samson alitoweka Ijumaa Juni 10 mwaka huu katika kituo cha Vijana cha Kanisa Katoliki Mbeya saa 12.30 jioni.

 

Taarifa hiyo imeeleza kuwa mara baada ya kutoweka juzi mwili wake umeokotwa jana.

The post Mwili wa Padre wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mbeya Waokotwa Jijini Mbeya appeared first on Global Publishers.





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz