Mwanamuzi Peter Msechu Apata Mtoto Mwingine Aandika Haya "Nikioga Vizuri Hii Ndio Rangi yangu" - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwanamuzi Peter Msechu Apata Mtoto Mwingine Aandika Haya "Nikioga Vizuri Hii Ndio Rangi yangu"


Kupitia Ukurasa wa Msanii @peter_msechu Ameshare Ujumbe baada ya Kufanikiwa kupata Mtoto Mwingine...

"Nyie Nyieeeeeee hivi mnajua Peter Msechu ana asili ya Bara la ulaya?? yaani mimi nikioga vizuri kabisa na sabuni ya mche na magadi halafu nikawa sina madeni ya kudaiwa hasa madeni ya gengeni hapa nje kwetu halafu nikawa nina mihela ya kumwaga hii ndio huwa Rangi yangu kweli kabisa naapiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tatizo mnaniandama sana na ndugu zangu mnanifubaza nakuwa mweusiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€¦πŸΏ‍♂️ narudia tena je ni Boy/GirlπŸ’–πŸ’™??? Stay tuned kujua jinsia itadhaminiwa 😜😜😜 Mtoto ana siku mbili tu ila kashaniingizia pesa za ubaloziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ afu utasikia mtu anamshauri Mama lolo @ama_lauren usikubali huyo bonge akupe mimba nyingine sikiliza ndugu yangu yaani hawa watoto watatu ndio nilikuwa kwenye majaribio je Mama lolo anatoa vitu? sasa amefuzu interview ataanza rasmi kujifungua mwakani akishabaleheπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Picha kamili za mtoto zitaonekana @peter_msechu_kids "





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz