Hakimu wa Mahakama ya Uingereza, ametoa uamuzi wa kuzimwa kwa mashine iliyokuwa ikisaidia kumpatia pumzi mtoto Archie (12), ambae alipoteza fahamu kutokana na majeraha katika ubongo wake.
Uamuzi huo umechukuliwa mara baada ya madaktari waliokuwa wakimuhudumia mtoto huyo kusibitisha kuwa ubongo wake umekufa na hautoweza kufanya kazi tena.
Hata hivyo mama wa mtoto huyo, ameonesha kusikitishwa sana na tukio hilo na kusema kuwa anachotaka yeye ni kuwa kando na mtoto wake.
Hata hivyo tukio hilo limeonekana kuwagusa watu wengi
No comments:
Post a Comment