Kiwanja chenye ukubwa wa sqm 1000 (mita 30/35) kinauzwa bei nafuu sana kwa tsh 14 milion au tsh 14000 kwa sqm.
Kiwanja kipo jiran na shule ya secondary Mapinga umbali wa km 1 tu kutoka Main road ya dar to Bagamoyo.
Kiwanja kinafaa kwa makazi au biashara (haswa nyumba za kupangisha)
Huduma zote zipo.
Tumeshusha Bei kutoka mil 18 mpaka mil 14 ili kupata mteja wa haraka zaidi.
Piga simu 0758603077
No comments:
Post a Comment