Burna Boy Aichunia DM ya Offset Instagram, Offset Aamua Kumwendea Kwenye Comments - EDUSPORTSTZ

Latest

Burna Boy Aichunia DM ya Offset Instagram, Offset Aamua Kumwendea Kwenye Comments


Rapa @offsetyrn ameona isiwe kesi baada ya DM zake kama kukaushiwa na @burnaboygram na kuamua kutiririka kwenye uwanja wa comments kwenye moja ya post ya African Giant akimtaka staa huyo toka Nigeria aangalie DM yake.


Ni staa gani wa Bongo angepata comment ya dizain hiyo, Social networks zingechafuka?





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz