Biashara ya Nyoka Aina ya Cobra ina Faida Kubwa Sana Kuliko Mafuta na Madini. - EDUSPORTSTZ

Latest

Biashara ya Nyoka Aina ya Cobra ina Faida Kubwa Sana Kuliko Mafuta na Madini.

Unachotakiwa kufanya ni kununua mayai 8 ya cobra, kisha yahifadhi eneo lenye uvuguvugu. Au ndani ya fuko la unga. Baada ya siku 14 yale mayai yatapasuka na kutotoa vitoto 16.


Kumbuka kila yai linahifadhi vitoto viwili vya nyoka. Na kawaida baada ya siku 21 kitaalamu nyoka wanakuwa wamekuwa na wako tayari kwa uzazi.


Ina maana hapo kila nyoka atataga mayai 8, piga hesabu 8 mara 16, itakuwa sawa sawa na 128. Baada ya siku 21 nyoka 128 watakuwa tayari kwa uzazi. Na kila nyoka atakutagia mayai 8.


Sasa piga hesabu 8 mara 128 sawa sawa na 1024 ukizidisha mara mbili inakuwa sawa sawa na 2048. Sasa ukitaka kuuza hao nyoka ambao kimsingi wanahifadhiwa kwenye bwawa. Sasa zidisha 2048 mara laki moja.


Kwa kuwa nyoka aina ya cobra aliyepevuka huuzwa mpaka laki moja kwa bei ya chini kabisa kwa soko la Afrika Mashariki. Wana soko kubwa sana Rwanda na Sudan Kusini.


2048 zidisha mara 100,000 sawa sawa na milioni mia mbili na nne na laki nane. Sasa siku 21 zidisha mara tatu manaake ni miezi mitatu. Ina maana kila mwezi utakuwa unaingiza zaidi ya milioni mia mbili?

Unataka nini zaidi?


Kumbuka!

Biashara zote ni nzuri na zinakupa faida kubwa pale unaposimuliwa.


Cc @bleesed_tillah

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz