Zuchu Afikisha Watazamaji Milioni 72 - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Zuchu Afikisha Watazamaji Milioni 72Video ya sukari ya msanii Zuchu imefikisha zaidi ya watazamaji milioni 72 katika mtandao wa youtube kwa mwaka mmoja na Miezi mitatu.

Zuchu anakuwa msanii wa kwanza wa Tanzania (solo) kufikisha jumla ya watazamaji hao na video hiyo ilitolewa Mwezi Januari 2021.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz