Siri Imefichuka, Mkanda wa Ngono wa Kim Kardashian Ulivujishwa na Kim Mwenyewe na Familia yake



RayJ Anadai Kuwa Ule Mkanda Wa Ngono Wa #KimKardashian (Kim K Tape) "Uliachiwa Kama Album" na Yeye Mwenyewe #KimKardashian na Sio Kwamba Ulivuja/ Vujishwa

Kwenye Interview na #DailMail #RayJ Amesema "Sijawahi Kuvujisha Chochote, Sijawahi Kuvujisha Mkanda Wa Ngono Kwenye Maisha Yangu. Haikuwahi Kuvujishwa, Bali Lilikuwa Ni Dili La Ushirikiano Kati Ya #KrissJenner, #KimKardashian Pamoja Na Mimi na Tumekuwa Tukishirikiana Tangu Lianze Suala Hili"

Cc.✍:@officialtriggah

#AfricaIsWatching #WasafiDigital


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post