Mwanamke wa Miaka 56 Atuhumiwa Kulazimisha Kufanya Mapenzi na Mtoto wa Miaka 8 - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwanamke wa Miaka 56 Atuhumiwa Kulazimisha Kufanya Mapenzi na Mtoto wa Miaka 8

 

Mwanamke wa Miaka 56 Atuhumiwa Kulazimisha Kufanya Mapenzi na Mtoto wa Miaka 8

Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Desderia Mbwela (56) Mkazi wa Kijiji cha Lumuli, Manispaa ya Iringa anashikiliwa kwa tuhuma za kulazimisha kufanya mapenzi na mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 8

Kamanda wa Polisi Iringa, Allan Bukumbi amesema "Mwanamke huyo alimshika mtoto huyo anayesoma Darasa la Tatu kwa nguvu kisha kumvutia kichakani na kumlazimisha afanya naye mapenzi. Desderia tumemshikilia kwa uchunguzi zaidi"

-

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz