Mrembo na Mwanamuziki Tems Kutoka NIGERIA Amekosekana Kwenye Video Mpya ya Future Aliyoshirikishwa - EDUSPORTSTZ

Latest

Mrembo na Mwanamuziki Tems Kutoka NIGERIA Amekosekana Kwenye Video Mpya ya Future Aliyoshirikishwa

 


Video ya Wait For U ya kwake Rapa Future ft Drake And Tems Kutoka Nigeria imetoka ikiwa ni video ya pili kuachiwa toka ametoa Albamu yake ya “I Never Liked You”

Video ni nzuru na Uwenda wengi wetu tulikuwa tukisubiri kumuona msanii Tems tokea Nigeria ni kwa namna gani atavaa uhusika mbele ya hawa Marapa bora kwa sasa Duniani, Licha ya kuipendezesha audio kwa sauti yake tamu,ila kwa bahati mbaya,msanii huyo hajatokea kwenye video hiyo na haijulikani ni sababu ipi imekwamisha Yeye kutokea.

Itazame Video Hapa Chini:


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz