LIVERPOOL YAICHAPA SOUTHAMPTON 2-1 ST MARY’S-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

LIVERPOOL YAICHAPA SOUTHAMPTON 2-1 ST MARY’S-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Liverpool imetoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya wenyeji, Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St Mary's .
Southampton walitangulia na bao la Nathan Redmond dakika ya the 13, kabla ya Liverpool kuzinduka kwa mabao ya Takumi Minamino dakika ya 27 na Joel Matip dakika ya 67.
Kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 89, ingawa inaendelea kushika nafasi ya pili nyuma ya Manchester City wenye pointi moja zaidi baada ya wote kucheza mechi 37.
Southampton yenyewe inabaki na pointi zake 40 za mechi 37 nafasi ya 15.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz