LIVERPOOL YAICHAPA NEWCASTLE 1-0 ST. JAMES' PARK-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

LIVERPOOL YAICHAPA NEWCASTLE 1-0 ST. JAMES' PARK-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

BAO la kiungo Mgunea, Naby Laye Keïta dakika ya 19 akimalizia pasi ya Mreno, Diogo Jota limeipa Liverpool ushindi wa 1-0 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa St. James' Park, Newcastle.
Kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 82, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi moja na mabingwa watetezi, Manchester City baada ya wote kucheza mechi 34, wakati Newcastle inabaki na pointi zake 43 za mechi 35 nafasi ya 10.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz