KOLA APIGA ZOTE MBILI AZAM FC YAICHAPA KMC 2-1 CHAMAZI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

KOLA APIGA ZOTE MBILI AZAM FC YAICHAPA KMC 2-1 CHAMAZI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Mabao ya Azam FC leo yote yamefungwa na mshambuliaji Mzambia, Rodgers Kola dakika ya pili na 36, wakati bao pekee la KMC limefungwa na Miraj Athumani dakika ya 48.
Azam FC inafikisha pointi 32 baada ya ushindi huo na kurejea nafasi ya tatu ikiiidi pointi moja Geita Gold baada ya wote kucheza mechi 22, wakati KMC inabaki na pointi zake 24 za mechi 22 nafasi ya 11.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz