Haji Manara Atupa Dongo Lingine Simba "Sio Mbaya Mtajipanga Kwa Miaka ijayo Mkipata Akili na Kupunguza Uchawi" - EDUSPORTSTZ

Latest

Haji Manara Atupa Dongo Lingine Simba "Sio Mbaya Mtajipanga Kwa Miaka ijayo Mkipata Akili na Kupunguza Uchawi"

 


Haji Manara Ameandika haya Kupitia Instagram:

"Sio mbaya mtajipanga Kwa Miaka ijayo mkipata akili na kupunguza uchawi.

Halaf Wananchi mbona mna siri sana, kumbe katika mechi sita zilizopita za Makolo, wameshinda mechi moja tu na sare tano? Halafu hamsemi😳

Makolo 0 Polisi 0

Makolo 0 Yanga 0

Makolo 2 Namungo 2

Makolo 4 Ruvu 0

Makolo 1 Azam 1

Makolo 1 Geita 1

Halaf na nyie wa Michongo mmeuchuna kimyaaaaaa,Yanga tulitoa Sare Tatu tu, kelele kibao na mkatuandikia makala za kila aina.

Kwanza mlinielewa niliposema mwanzo wa msimu lile neno Return of the Champions?

Na ole wenu leo tukute Majivu CCM Kirumba.

Che Che Che 

Wanayaona Macho yao

Pumzi ya Kitonsa 

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz