Fred Vunja Bei "Kwa Mtu Atakaye Wadate Tunda na Whozu Ajue Amenunua Shamba Lenye Mgogoro" - EDUSPORTSTZ

Latest

Fred Vunja Bei "Kwa Mtu Atakaye Wadate Tunda na Whozu Ajue Amenunua Shamba Lenye Mgogoro"


Hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinazoendelea kwenye Social networks kuwa mastaa Whozu pamoja na mzazi mwenzie, Tunda hawapo pamoja, na ni couple ambayo imekuwa na ups and downs nyingi sana.


Hasa hii jana Mei 13 kupitia U-HEARD na Soudybrown ,Mkurugenzi na mmiliki wa Kampuni ya Vunja Bei ambaye pia ni kaka yake na Whozu (Rafiki wa kaka yake Whozu, Frank Knows), Fred Vunjabei amedai ni ngumu sana Whozu na Tunda kuachana maana ni watu wanaopendana hisivyo elezeka, huku akitoa angalizo kuwa endapo kuna mtu atatokea kuwadate,yani Mwanamke ataye mdate Whozu na Mwanaume atayemdate Tunda, ajue tu kanunua Shamba lenye mgogoro maana ni muda wowote mmoja wapo kati yao anarudi kwa mwenzie.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz