elru87tYGBGEm DE BRUYNE APIGA NNE MAN CITY YAICHAPA WOLVES 5-1-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

DE BRUYNE APIGA NNE MAN CITY YAICHAPA WOLVES 5-1-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABINGWA watetezi, Manchester City wameitandika Wolverhampton Wanderers mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatano Uwanja wa Molineux, Wolverhampton, West Midlands.
Nyota Mbelgiji, Kevin De Bruyne  peke yake amefunga mabao manne dakika za saba. 16, 24 na 60, kabla ya Raheem Sterling kufunga la tano dakika ya 84, wakati la Wolves limefungwa na Leander Dendoncker dakika ya 11.
Man City imefikisha pointi 89, tatu zaidi ya Liverpool baada ya wote kucheza mechi 36.
Wolves wanabaki na pointi zao 50 za mechi 36 pia nafasi ya nane.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz