Chris Mauki “Mwanaume akiomba space ujue kakuchoka" - EDUSPORTSTZ

Latest

Chris Mauki “Mwanaume akiomba space ujue kakuchoka"

 
“Mwanaume akiomba space ujue kakuchoka ila mwanamke akiomba space ujue anataka kujifikiria.
Space ni muda wa mtu mwenyewe kuwa peke yake akimaanisha kutaka kupumzika
Ukiona Mwanamke anaomba space mwanaume inabidi upambane kujua shida nini na utatue ila ukiona Mwanaume anaomba space hata kikao ujue tayari kashafanya maamuzi” @chrismauki_ Mwanasaikolojia

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz