CHELSEA YAICHAPA LEEDS UNITED 3-0 ELLAND ROAD -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

CHELSEA YAICHAPA LEEDS UNITED 3-0 ELLAND ROAD -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Chelsea imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Leeds United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatano Uwanja wa Elland Road, Leeds, West Yorkshire.
Mabao ya Chelsea yamefungwa na  Mason Mount dakika ya nne, Christian Pulisic dakika ya 55 na Romelu Lukaku dakika ya 83 na sasa wanafikisha pointi 70 katika mchezo wa 36, ingawa wanabaki nafasi ya tatu wakiizidi pointi nne. Arsenal ambayo pia ina mechi moja mkononi.
Leeds United ambayo ilimpoteza mchezaji wake, Dan James aliyetolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 24 tu kwa kumchezea rafu Mateo Kovacic, inabaki na pointi zake 34 za mechi 36 nafasi ya 18.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz