ARSENAL YA WEST HAM 2-1 LONDON -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

ARSENAL YA WEST HAM 2-1 LONDON -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Arsenal imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa London usiku wa Jumapili.
Mabao ya Arsenal yamefungwa na 
Rob Holding dakika ya 38 na Gabriel Magalhães dakika ya 54, wakati la West Ham limefungwa na Jarrod Bowen dakika ya 45.
Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 63 na kusogea nafasi ya nne, ikiizidi pointi mbili Tottenham Hotspur baada ya wote kucheza mechi 34.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz