Wema Sepetu "Jamani Natamani Kuolewa... Yaani nimetamani tu Harusi" - EDUSPORTSTZ

Latest

Wema Sepetu "Jamani Natamani Kuolewa... Yaani nimetamani tu Harusi"


Jamani Natamani Kuolewa... Yaani nimetamani tu Harusi.... Na iwe Exquisite... The thought of me in a Wedding Dress, watu wamependeza... Food & Drinks na Good Music... Daaaaah... Trust me natamani Sana na Watu Wengi watanichangia Siwezi Kufanya harusi Bila kuchangisha watu mie Mwenyewe nimechangia Watu Wengi sana

Bibi Harusi nipo, Tatizo ni Bwana Harusi.... Bado hajajitokeza...
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz