Vanessa Mdee Sio Mwenzetu...Tazama Hapa Nyumba Anayojenga Marekani - EDUSPORTSTZ

Latest

Vanessa Mdee Sio Mwenzetu...Tazama Hapa Nyumba Anayojenga Marekani


Vanessa Mdee Amedokeza Kuhusu Ujenzi Wa Nyumba Yake Huko Mjini Florida Nchini Marekani Ambayo Ameweka Wazi Kuwa Nyumba Hiyo Ni Kwa Ajili Ya Mapumziko


#VEE Ameshare Good News Hizo Katika IG Yake Ambapo Amepost Picha Kadhaa Na Kuandika......"New Crib Alert 📍 Orlando, Florida 🌴 ☀️ 🙏🏽 building my new vacation home 🏡'' Kwa Maana Ya Kuwa Anajenga Nyumba Hiyo Kwa Ajili Ya Mapumziko"

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz