Snoop Dogg Ajitapa "Mimi Ndio STAR wa Kwanza Kujiunga Instagram" - EDUSPORTSTZ

Latest

Snoop Dogg Ajitapa "Mimi Ndio STAR wa Kwanza Kujiunga Instagram"Rapa mkongwe kutokea Marekani, Snoop Dogg amesema yeye ndio mtu mashuhuri wa kwanza kuanza kutumia mtandao wa Instagram.

Kupitia Mahojiano aliyoyafanya na #DrinkChamp ya #Nore na #DjEFN
Snoop amesema kuwa watu wengi huwa wanabisha na kusema Soulja Boy alikuwa Staa wa kwanza kuanza kuitumia instagram lakini ukweli ni kwamba yeye ndiyo alianza.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz