Ruby Atamani Kufa "Najisikia tu Nife, Nikapumzike na ya Dunia" - EDUSPORTSTZ

Latest

Ruby Atamani Kufa "Najisikia tu Nife, Nikapumzike na ya Dunia"


Mwanamuziki Ruby Kupitia account Yake ya Instagram ameandika haya 

"Najisikia tu Nife, Nikapumzike na ya Dunia" 

Flaviana Matata Baada ya Kuona hivyo ameandika haya:

“Yeyote aliyeko karibu na Ruby ( @iamrubyafrica ) ahakikishe anapata usaidizi kabla ya kuchelewa TAFADHALI🙏🏾” ——— 📌 @FlavianaMatata

Je, Unadhani ni Nini kimempata Mwanamuziki Ruby
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz